Kuna tofaut kubwa kati ya diamond na ali kiba
Kwa sababu Kiba alishasema anapambana nae (rejea ombi la kiba kwa wema )Kulikuwa na umuhimu gani wa kumtaja alikiba?
Kulikuwa na umuhimu gani wa kumtaja alikiba?
Hakuna jambo la hivyo,huyu kiba anayesukwa na maadui wa dangote lakini hasukumiki!!Ila kijana, KIBABEATS lime-sound poa zaidi ya CHIBUBEATS tukiweka ushabiki kando!
Au waonaje mkuu?
Safi sana, tunazisubiri. Nitamnunulia mbeiby genevorious akauzie sura Mlimani city.
Atakuwa kamuiga kidoti maana yeye anapiga pesa kwenye wigs na wiving hatari
weee genev ukimnunulia hizo atazikatakata na moto atazichoma,ahahaha anampenda kiba huyoo!!
Hahaha atazivaa tu apende asipende, kila mtu mjini anasubiri kuzivaa yeye atabakije nyuma pekeake mji mzima.
Kuna tofaut kubwa kati ya diamond na ali kiba