mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 760
Atakuwa kamuiga kidoti maana yeye anapiga pesa kwenye wigs na wiving hatari
Safi sana, tunazisubiri. Nitamnunulia mbeiby genevorious akauzie sura Mlimani city.
Diamond Platnumz anafuata nyazo za Dr. Dre, Ludacris, DJ Khaled, 50
Cent na mastaa wengine walioingia kwenye biashara ya headphones.
Mabibi na mabwana, Diamond anawaletea Chibu Beats. Staa huyo ametangaza hatua hiyo kubwa wakati akimpongeza Flaviana Matata katika birthday yake. Kama hauna taarifa bado huyu ndio aliyefanya Account yangu ya Facebook kuwa Verified, ameandika Diamond. Na huyu huyu pia ndiYe aliyefanya kabla ya mwaka huu kuisha nitambulishe #HeadPhones & #Earphones zangu! #ChibuBeats .
Atakuwa kamuiga kidoti maana yeye anapiga pesa kwenye wigs na wiving hatari
Hivi kipindi kile cha White party alizinduaga Tv station yake au zilikuwa mbwembwe tu?
Diamond Platnumz anafuata nyazo za Dr. Dre, Ludacris, DJ Khaled, 50
Cent na mastaa wengine walioingia kwenye biashara ya headphones.
Mabibi na mabwana, Diamond anawaletea âChibu Beats.â Staa huyo ametangaza hatua hiyo kubwa wakati akimpongeza Flaviana Matata katika birthday yake. âKama hauna taarifa bado huyu ndio aliyefanya Account yangu ya Facebook kuwa Verified,â ameandika Diamond. âNa huyu huyu pia ndiYe aliyefanya kabla ya mwaka huu kuisha nitambulishe #HeadPhones & #Earphones zangu! #ChibuBeats .â
dah watu bhana, ulimwengu wa saivi mtu akisema anafuangua TV sio lazima iwe ile ya maungo, maantena na michogo ile siku ya party kijana alienda kidigital akaamua kuweka TV yake ya kustream online na watu walilipia buku 3 kucheki hio tv ..... ni kama live YouTube tv
Kulikuwa na umuhimu gani wa kumtaja alikiba?
hahahah watz bwana.....Diamond Platnumz anafuata nyazo za Dr. Dre, Ludacris, DJ Khaled, 50
Cent na mastaa wengine walioingia kwenye biashara ya headphones.
Mabibi na mabwana, Diamond anawaletea ‘Chibu Beats.' Staa huyo ametangaza hatua hiyo kubwa wakati akimpongeza Flaviana Matata katika birthday yake. "Kama hauna taarifa bado huyu ndio aliyefanya Account yangu ya Facebook kuwa Verified," ameandika Diamond. "Na huyu huyu pia ndiYe aliyefanya kabla ya mwaka huu kuisha nitambulishe #HeadPhones & #Earphones zangu! #ChibuBeats ."
Kuna tofaut kubwa kati ya diamond na ali kiba