Diamond kuzindua Wasafi Tower, Ali Kiba anatafuta akaunti yake ya Audiomack...

Nadhani sio sahihi kuwapambanisha kati ya Alikiba na Diamond Platinum.

Wanatofautiana sana.

1. Utajiri (mali-vitu).

2. Music (hit songs).

3. U-nyota.

4. Mahusiano.

5. Muonekano (uvaaji).

6. Mashabiki (wanaowapenda na kuwachukia).

N.k
 
Ila watu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mi sioni cha ajabu hapo... haiwezekani uliowahi kuwa nao hatua flani..kipindi fulani... basi uwe nao mafanikio sawa...haiwezekani wote waliosoma na jiwe wawe Presidents....
 
Wakati Diamond akisonga hatua kumi mbele alikiba yeye anasonga ugali. Kumbe alikiba alipoteza account yake ya audiomack yeye na management yake ndo wanaangaika kuitafuta.

Siku nyingine acha kumfananisha diamond na wasanii wengine diamond Ni Tasisi teyali kulikuwa haina haja ya kummention alikiba wakati unajua kabisa diamond kapiga hatua kubwa Sana kushinda wasanii watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ