Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauliza tu si kwa ubaya
Hivi ni kwanini wadada wengi wanampenda sana ali kiba kuliko diamond
Wakati Diamond akisonga hatua kumi mbele alikiba yeye anasonga ugali. Kumbe alikiba alipoteza account yake ya audiomack yeye na management yake ndo wanaangaika kuitafuta.
Kweli kabisa
Sijakuelewa hataWanaume wenye pesa bawawezi kunyenyekea mwanamke kwa sababu wanajua wapo wengi wanawake wanahitaji pesa zao
Sent using Jamii Forums mobile app
AhsanteVidole vyako vinalingana kwani lakini huwezi zarau kimoja maana kikikatika kuna baadhi ya mambo hutaweza fanya
Sinania ya Ku diss respect/Nadhani sio sahihi kuwapambanisha kati ya Alikiba na Diamond Platinum.
Wanatofautiana sana.
1. Utajiri (mali-vitu).
2. Music (hit songs).
3. U-nyota.
4. Mahusiano.
5. Muonekano (uvaaji).
6. Mashabiki (wanaowapenda na kuwachukia).
N.k
Una uhakikaNauliza tu si kwa ubaya
Hivi ni kwanini wadada wengi wanampenda sana ali kiba kuliko diamond
Hiyo namba 5 mbona umejihami kwenye mabano...Nadhani sio sahihi kuwapambanisha kati ya Alikiba na Diamond Platinum.
Wanatofautiana sana.
1. Utajiri (mali-vitu).
2. Music (hit songs).
3. U-nyota.
4. Mahusiano.
5. Muonekano (uvaaji).
6. Mashabiki (wanaowapenda na kuwachukia).
N.k
Kaashaanza kuwalipa wiki ijao anaingia awamu ya piliDiamond anawalipia lini wale aliowaahidi wa nyumba za kupanga?