Diamond kuzindua Wasafi Tower, Ali Kiba anatafuta akaunti yake ya Audiomack...

Shida ya watu bana wenzio wanampunga wa kutosha we unahangaika kuwafananisha piga kazi tafuta pesa yako.
 
Hahahahh nimecheka sana kwenye huu uzi hakika siami Jf......


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
kama kiba hua anapita huku nadhani hua anajifungia ndani nakuanza kulia kwa hizi kejeli
 
Nadhani sio sahihi kuwapambanisha kati ya Alikiba na Diamond Platinum.

Wanatofautiana sana.

1. Utajiri (mali-vitu).

2. Music (hit songs).

3. U-nyota.

4. Mahusiano.

5. Muonekano (uvaaji).

6. Mashabiki (wanaowapenda na kuwachukia).

N.k
Sinania ya Ku diss respect/
Kumfananisha alikiba na diamond hii ni big mistake/
Bongo fleva ni diamond he deserve respect/
Waambien h baba na diva/
Lile taji ambalo mungu kamvika/
Hawaez mvua kwa majungu na visa
"AZMA MMPONDA-FACT"
 
Nadhani sio sahihi kuwapambanisha kati ya Alikiba na Diamond Platinum.

Wanatofautiana sana.

1. Utajiri (mali-vitu).

2. Music (hit songs).

3. U-nyota.

4. Mahusiano.

5. Muonekano (uvaaji).

6. Mashabiki (wanaowapenda na kuwachukia).

N.k
Hiyo namba 5 mbona umejihami kwenye mabano...
 
Diamond anawalipia lini wale aliowaahidi wa nyumba za kupanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…