venance7
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 558
- 1,645
Yani tekno ni wa 13 kwa wasanii wenye pesa Nigeria kwa hela hiyo $ 8 milioni, wakati diamond an $ 5 na wa kwanza east Africa?ππ lakini sio mbaya kijana amepambana vilivyo kibongo bongo kama yeye ana hio sijui wengine wana hali gani huko,ila Nigeria wanabebwa na vitu vingi kwanza population yao ni mara nne zaidi yetu hivyo kwa vigezo vya views wa YouTube lazima wapo juu,pili mziki wao upo juu unawalipa kuanzia shows mpaka matangazo,tatu wana uhakika wa kuchukua tuzo za kimataifa kila mwaka huku wasanii wetu wenye uhakika wa kuingia ni mmoja au wawili tu, naamini kwa bongo fleva sidhani kama kuna mtu mwingine anayefika walau $ 2 milioni.