Diamond kwa kupiga picha na ma-star wa mbele hajambo

Acha uongo,wewe umeona wapi hiyo ya DIAMOND kupiga picha na ma star wa nje ????
 
Wewe kinakuuma nini hasa, hata ikiwa ni ushamba wewe fanya yako mwanaume gani unafuatilia maisha ya mwenzako, kwani anavunja sheria gani ya nchi ni lini waafrika tutaacha kujadili ya watu au ulitaka aje apige picha na wewe, daaah aiseeh waafrika tunasafari ndefu mtu akifanikiwa shida, akifulia shida.
 
Mashabiki wa Mondi na Kiba wanafanana na wale wa Barca na Madrid..,you never see any good kwa mwenzako!
 
Uyu mtoa Uzi nae tabia zakike izo. ..unamfuatilia wa nn mond kama humwelewi fanya mambo yako usitupumzikie
 
Mashabiki wa Mondi na Kiba wanafanana na wale wa Barca na Madrid..,you never see any good kwa mwenzako!
Penye ukweli lazima tuseme apunguze shobo kwa wanaume
 
Mashabiki wa Mondi na Kiba wanafanana na wale wa Barca na Madrid..,you never see any good kwa mwenzako!

mkuu mentor, nilikua nasoma uzi wako wa 2005 wakati unalike post yangu mahali

ulimalizia kuwa

ukaenda nae kusikojulikana........
 
Kama inakuuma meza wembe aisee, hadi picha za mtu zinakukosesha raha?! Na ww ungekuwa amercan celebrity angekutafuta ila kwa sababu sio basi usiumie roho na kama ww ndo unampeleka marekani basi mpangie program za kufanya akiwa huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…