Diamond kwa kupiga picha na ma-star wa mbele hajambo

Huyu bwana mdogo ni msanii mkubwa kabisa kibongo bongo na kiafrika but kitu kimoja tu ananiacha hoi ni vile kupenda kupiga picha na mastar wa mbele. Sijui anaonaga sifa?

Mimi kwangu naona kama ushamba tu hivi coz cjaona msanii yyt wa kibongo au A list ya wasanii Africa wakifanya huo ushamba

Mfano tu mzuri King Kiba kafanya ngoma hadi na kina R Kelly lkn hana hizo ...anakera kweli
Wivu tu, kama unadhani ni RAHISI kupiga picha na hao star nawe nenda kapige. Kwanza Kiba kafanya ngoma na R Kelly!! Ngoma gani hiyo? Au unamaanisha ile project waliokuwa zaidi ya wasanii 10? Kama ni hiyo ndo unasema Kiba kafanya ngoma na R Kelly? Una matatizo si haba.
 
Huyu bwana mdogo ni msanii mkubwa kabisa kibongo bongo na kiafrika but kitu kimoja tu ananiacha hoi ni vile kupenda kupiga picha na mastar wa mbele. Sijui anaonaga sifa?

Mimi kwangu naona kama ushamba tu hivi coz cjaona msanii yyt wa kibongo au A list ya wasanii Africa wakifanya huo ushamba

Mfano tu mzuri King Kiba kafanya ngoma hadi na kina R Kelly lkn hana hizo ...anakera kweli
Basi akapige picha na tembo
 
Kwani diamond ndo mdudu gani huyo

Na inakuwaje watu na akili zao wanakubali kupiga nae picha
 
katka watu wa ajabu wewe leo wa ajabu diamond anafanya music biashara na biashara ni matangazo na hayo anayofanya mond ndio yanayompa status ya juu ambayo ,,,,mtu mashuhuri lazima watu wakufuatilie na wajue habari zako hiyo ndio kazi yake yy kila siku kuonekana ndio kunampa mikataba acha kufikili kwa akili ndogo
 
Sio kila akipiga picha ndo awe ameomba yeye. Hao wasanii wa mbele ndo wanaomba sometimes kupiga nae picha.

Lakini pia kama kupiga nao picha kunampa coverage ni sawa tu. Maana bila kufanya hivyo leo hii usingeanzisha uzi wa kumzungumzia.

Lazima ukubali kwamba jamaa anajua kutengeneza topics za wary kujadili kuhusu yeye. Na hii inamuweka juu kila wakati.

Yaani badala ya kumpongeza kwa strategies unamfananisha na huyo Kiba aliyepewa ofa na Airtel ya kurekod na R Kelly miaka hiyo!!
 
Ielewekwe vizuri kwamba Kiba hakufight au hakuombwa na R Kelly kufanya ngoma. Bali Airtel ndo wali mobilise! Wakakusanya kundi la wasanii wanaofanya vizuri katika nchi zao wakati ule ili kutangaza brand yao! Kiba is dumb! Hawezi kufika huko. Bad enough ameshakutanushwa na watu kama kina Kelly still alishindwa ku mantain!!!

Pili, Kiba kusainishwa na SONY ni dharau kwa msanii mkubwa sio cha kushangilia eti sababu tu eti " mbona wasanii wengine wakubwa wamesainishwa pia" Kwa tafsiri inayoeleweka vizuri alichofanyiwa Kuba na SONY ni kama Diamond anachowafanyia kina Harmonize, Ray Vanny, Rich Mavoko, n.k! So u can see nani ana akili zaidi kati ya hawa watu wawili
 
Naona imeku touch kama duke kiba noma R Kelly mwenyewe ali salute
 
Povu linakutoka kam la sabun
 
Huyu bwana mdogo ni msanii mkubwa kabisa kibongo bongo na kiafrika but kitu kimoja tu ananiacha hoi ni vile kupenda kupiga picha na mastar wa mbele. Sijui anaonaga sifa?

Mimi kwangu naona kama ushamba tu hivi coz cjaona msanii yyt wa kibongo au A list ya wasanii Africa wakifanya huo ushamba

Mfano tu mzuri King Kiba kafanya ngoma hadi na kina R Kelly lkn hana hizo ...anakera kweli
Wew ni HATER kinacho kuumiza ni nin apo? au kwa kua uyo kibaka wenu hapigi picha na mastar basi mond nae asipige picha??
Peleka ushamba wako uko ulikotoka..
 
katka watu wa ajabu wewe leo wa ajabu diamond anafanya music biashara na biashara ni matangazo na hayo anayofanya mond ndio yanayompa status ya juu ambayo ,,,,mtu mashuhuri lazima watu wakufuatilie na wajue habari zako hiyo ndio kazi yake yy kila siku kuonekana ndio kunampa mikataba acha kufikili kwa akili ndogo
Aache shobo za kushokea wanaume kila cku picha utafikiri ndo anachipukia
 
Wew ni HATER kinacho kuumiza ni nin apo? au kwa kua uyo kibaka wenu hapigi picha na mastar basi mond nae asipige picha??
Peleka ushamba wako uko ulikotoka..
Mwambieni apunguze shobo na wanaume watampumulia asipokuwa makini maana shobo zimezid
 
Chimba shimo ujifukie maana hakuna namna uyo ndo chibu ulitaka apige picha na mbwa au? Si kapost kwenye page zake we unaumia kiungo gani na bado mnyoosho tu nyie si mnapenda vya kunyongwa mbaka itokee bahat wamekuja uyo anaenda majuu anapiga nao picha hukohuko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu kaibiwa nyeti kwani!!?
 
Mwambieni apunguze shobo na wanaume watampumulia asipokuwa makini maana shobo zimezid
Hebu tuweke sawa,hivo vitu anavyofanya yeye, ambavyo wewe vinakukera umeviona wapi .............. ???
 
Huyu bwana mdogo ni msanii mkubwa kabisa kibongo bongo na kiafrika but kitu kimoja tu ananiacha hoi ni vile kupenda kupiga picha na mastar wa mbele. Sijui anaonaga sifa?

Mimi kwangu naona kama ushamba tu hivi coz cjaona msanii yyt wa kibongo au A list ya wasanii Africa wakifanya huo ushamba

Mfano tu mzuri King Kiba kafanya ngoma hadi na kina R Kelly lkn hana hizo ...anakera kweli

sasa diamond na Mzee wa msoga nani zaidi kupiga picha na mastaa?
 
Aache shobo za kushokea wanaume kila cku picha utafikiri ndo anachipukia
Kumbe kila siku anakuwa na mastaa wakubwa! Basi huyu jamaa kashindikana. Na Kibaka anapiga picha na kina nani hivi?
 
Back
Top Bottom