Ielewekwe vizuri kwamba Kiba hakufight au hakuombwa na R Kelly kufanya ngoma. Bali Airtel ndo wali mobilise! Wakakusanya kundi la wasanii wanaofanya vizuri katika nchi zao wakati ule ili kutangaza brand yao! Kiba is dumb! Hawezi kufika huko. Bad enough ameshakutanushwa na watu kama kina Kelly still alishindwa ku mantain!!!
Pili, Kiba kusainishwa na SONY ni dharau kwa msanii mkubwa sio cha kushangilia eti sababu tu eti " mbona wasanii wengine wakubwa wamesainishwa pia" Kwa tafsiri inayoeleweka vizuri alichofanyiwa Kuba na SONY ni kama Diamond anachowafanyia kina Harmonize, Ray Vanny, Rich Mavoko, n.k! So u can see nani ana akili zaidi kati ya hawa watu wawili