ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Mi naona ameimba vizuri kuliko kawaida. Labda we humpendi D kama mimi ila nyimbo bomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaimba vizuri hasa huo niache yani huko mtaanu kwetu napishana na boda boda kila mara niache niacheMi naona ameimba vizuri kuliko kawaida. Labda we humpendi D kama mimi ila nyimbo bomba
hapo kwenye kutokuwa serious na watu wakapenda mfano mzuri ni ngoma ya "Ukimuona" haikuwa ktk ratiba ya ngoma zake serious na aliiichukulia poa sana lkn ni ngoma iliyopendwa na bado inapendwa na watu,wengine wanafika mbali kabisa kwa kusema kuwa ndio wimbo bora aliwahi kuandika miongoni mwa nyimbo zake zooote...mpaka christian bella alisikitika sana kuona diamond wimbo mkubwa kama ule kauchukulia poa.Eti za kawaida sana....
Hata mwenyewe Diamond anafahamu hizo sio sehemu ya zile alizokusudia kuwa big hits kwake... zile ni matunda ya mtu ukiwa na studio! Unarekodi muda wowote ukijisikia na kuachia bila kuwa kwenye program au ratiba maalumu!!!
Look, Diamond nyimbo zake huwa anatanguliza videos... hivi hushangai zile kaanza na audio! Tena sio wasafi.com kwamba tungesema anataka kuuza lakini kaachia Youtube!!!
Sio hivyo tu, Diamond ni bingwa wa promo!!! Umeshaona anazifanyia promo yoyote zile ngoma?! Hata huko Instagram hajazi-post!!! Ni kawaida ya Diamond hiyo?!
Lakini ilivyo ni kwamba, ngoma is about taste. Msanii anaweza asiwe serious na track husika lakini watu wakaipenda... haidhuru hata kama wewe huzipendi!!!
Upo sahihi kabisa na hata video hakutengeneza.hapo kwenye kutokuwa serious na watu wakapenda mfano mzuri ni ngoma ya "Ukimuona" haikuwa ktk ratiba ya ngoma zake serious na aliiichukulia poa sana lkn ni ngoma iliyopendwa na bado inapendwa na watu,wengine wanafika mbali kabisa kwa kusema kuwa ndio wimbo bora aliwahi kuandika miongoni mwa nyimbo zake zooote...mpaka christian bella alisikitika sana kuona diamond wimbo mkubwa kama ule kauchukulia poa.
Concurred [emoji106] [emoji106] [emoji106]Huyu jamaa ni fundi ameanza kunirudisha enzi za ukimuona hasa hapo kwenye niache.
Jamaa ana utunzi flani ambao nlikuwa meumiss safi sana hata mimi hapa nampa big up maana hizi ndizo nyimbo zetu bwana zile za kinaija mimi siIelewag
Ata mmNkajuaa diamond dash wa b.o.b
Bora uulize...nazani kuna watu wanajitoa ufahamu tu..maana yeye mwenyewe alishaweka wazi utaratibu wake wa kazi kwamba kuna zile local kwa mashabiki wa east africa na international kwa soko la nje...na akasema kabisa hizo local zikivuka mipaka ni by chance tu lkn sio target.Hivi watanzania sisi tuna nini? Akiimba nyimbo za kima taifa kama Hallelujah mnasema atapoteza mashabiki wa ndani Haya sasa katoa izo nyimbo mbili tena mnasema hiz hazitovuka bodaa
Sasa nyie mnataka kijana wa watu afanyajeeee
coz na wenyewe wanapata kiki...!Hivi hao wanawake walioimbwa kwenye wimbo wa Sikomi wamekaa tu kimya na kwa uzuzu wao wataimba na kucheza.... lol