ndio unaipa promo sio? ila mbona nyimbo mbaya sana?
Nafikiri anamaanisha ni muda gani umechukua kupata hizo views laki 4 maana toka umeachiwa hauna hata masaa 12!laki 4 kutizamwa kwa clip youtube ni number ndogo mno!
Leo ametoa wimbo akiwa na mpenzi wake kwangu mimi ni ya kawaida ila ajabu sasa Ndani ya masaa 5.
1.Imekamata number 1 kwenye trending
2.imetazamwa na watu zaidi ya laki 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza kunywa mataputapu Unakoelekea utaokota makopoHuu wimbo utavunja rekodi nyingi sana, ni moja kati ya nyimbo zenye nguvu kuwai kutokea east africa. Super hit!
Hawapigi ngoma mbovu
Ya kawaida ndio nini? Nyimbo mbaya bhana..., hadi kero, huwezi linganisha na Yope au Sound, huu ni uchafu aliofanya...
Kwani yeye ni msanii wa Muziki? mtu kusema kitu ni kibaya ni lazima na wewe uwe wa kada hiyo?Leta uliyoimba wewe
Mama gaude utamuamsha asubuh na kimoko Kama Tanasha mkuu?Subirini ngoma yangu na Mama Gaude, one hour view milioni 27. Muda utaongea
Sio nzurNgoma kali sana hakuna kubisha
Hakuna hit song ya hivi dunianiHuu wimbo utavunja rekodi nyingi sana, ni moja kati ya nyimbo zenye nguvu kuwai kutokea east africa. Super hit!
π π π π π