Diamond kwa Youtube hana mpinzani hapa bongo

Diamond kwa Youtube hana mpinzani hapa bongo

kwani yule bibi anasemaje vile??
nawaulizeni tu team bibi divi
 
Mimi naiangalia ila ni timu clauz hivyo nafunga jicho moja niiangalie mdogo mdogo.
 
Huyo Mzee wa kununua views, siangalii mpaka muamala usome.
 

Attachments

  • 86347223_193945678679732_2124082115896295217_n.mp4
    5.3 MB
bonge la goma, video ipo classic.... kwan nani alishawah idiss privacy ya chris brown licha ya matusi?
 
Tanasha Donna anakuwa msanii wa kwanza wakike barani Africa kufikisha views million 1 ndani ya masaa 14.

#GERE.
 
Mashabiki wa Diamond sijui akili mmepeleka wapi aisee, Daah
We akili zako umepeleka wapi,tusipangiane huu ni ulimwengu wa uchaguzi,so nilicho chagua mimi sio lazima ww ukipende cha msingi vumilia.

Hii JF hatujuani lkn kama tungekuwa tuna juana naona ww ndiye ungejiona huna akili,umesikia ww B*tch as* nigga,kama comment zangu hupendi usizijibu kwani mimi sichaguliwi cha kuandika .
 
Back
Top Bottom