Diamond kwa Youtube hana mpinzani hapa bongo

Wimbo mbaya aisee!siwezi kuwa nao kwenye playlist
 
Ngoma ina matusi balaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee nikajua ni mimi tu ndo nimenotice hiyo, mi ni shabiki wa mondi ila kwwnye hii ngoma matusi mengi mno alafu nje nje bila mafumbo dah! Bora media zisipige hii ngoma mida ya asubuhi na mchana sjui tunawafundisha nini watoto.
 
Iko wazi kwamba kwa ujumla kwa hapa Tanzania hana mpinzani kivyovyote vile!
Ukibisha haituhusu, baki na kujiongopea mwenyewe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…