mkuu mi sina chuki, jua kuchangia hapa haimaanishi unajua kile kilichoandikwa...sote tunabaki kuwa wasomaji na kuchangia au kutoa maoni sawa na tulivyoelewa
kwa mimi hiyo taarifa haijanitosha kuamini kuwa waghana na wanigeria wanagombea kolabo na platnums, ila nimeielewa kuwa diamond anakwenda kusaka mtu wa kufanya nae kolabo kati ya hizo nchi mbili......
pia naomba uelewe mi sina sababu wala uwezo wa kumchukia au kumpenda mtu kama daimond, kwa sababu haathiri maisha yangu na family yangu kwa namna yoyote ile!!
Ni hayo tu!!