Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kma hujui kitu kaa kimya...na chuki zako za kijinga wenzako wanazid kufly kila msimu
Kuokota pesa ndio ujanja na siyo lugha, Kenya hadi vichaa wanaongea kingereza.
Itakuwa ndio video ambayo itambid atumie badget kubwa kuliko zote alizowahi fanya.....Huo wimbo wa hiyo video sasa,na vichwa/wahusika watakavyokuwemo humo!!!!!!!ni shidaaaa ya mwaka...kaeni tu mkao flan
mkuu mi sina chuki, jua kuchangia hapa haimaanishi unajua kile kilichoandikwa...sote tunabaki kuwa wasomaji na kuchangia au kutoa maoni sawa na tulivyoelewa
kwa mimi hiyo taarifa haijanitosha kuamini kuwa waghana na wanigeria wanagombea kolabo na platnums, ila nimeielewa kuwa diamond anakwenda kusaka mtu wa kufanya nae kolabo kati ya hizo nchi mbili......
pia naomba uelewe mi sina sababu wala uwezo wa kumchukia au kumpenda mtu kama daimond, kwa sababu haathiri maisha yangu na family yangu kwa namna yoyote ile!!
Ni hayo tu!!
umejieleza vizuri, hongera kwa hilo mkuu