Diamond kwisha habari yake

Two dimension array

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,592
Reaction score
2,381
Ndugu wana celebrities forum.

Nakiri kabisa pamoja na nyimbo za diamond platnum kutrend bwna mdogo inaonyesha jinsi gani ameshuka kiwango kwa spidi kubwa mno.

Nilishasema huko nyuma kwamba anguko la huyu bwna haliko mbali! Na huu ndo mwanzo wa kuelekea shimbo

Nyimbo za hovyo maudhui ya hovyo hazifai kusikiliza na watoto wala wazazi Mara 100 nisikilize rhumba kuliko uchafu wako Mara sijui vumbi, kanyaga sijui midude gani hueleweki!

Unatuharibia mziki wetu! Tunataka pure bongo fleva na sio uharo unaotoa hovyo sana huyu Jamaa siku hizi
 
Wivu ni kidonda. ..... simpendi diamond but siwezi kukutaa kuwa ndiye msanii namba 1 katika wasanii wanao fanya vyema hapa nchini. .......Pia ni Kijana aliyefanikiwa akiwa Katika umri mdogo licha ya kuzaliwa katika family ya ki-masikini. ..

Kwa namna 1 ama nyingine ana stahiki pongezi-

Licha ya madhaifu mengi aliyo nayo ambayo Yana changiwa na Utovu wa nidhamu alionao ambayo huwenda ni mlipuko unapatikana sasa baada ya kukosa malezi bora
 
Unajitekenya na kucheka wenyewe,tatizo baya mnalolitegemea nyinyi litokee halitokei,poleni endelea kusubiri,ila kuanzia mwezi wa nne mpaka leo hii anayeta tawala Youtube,Boomplay,na Sportfy EA ni Diamond platnumz.Wewe endelea kuchukia ila wenzako walio wengi wanampenda.
 
Hakuna mwanamuziki anayependwa na wote... We sikiliza singeli zako waachie wenzio MONDI wao.... You are not the SI UNIT....
 

Ego wont let u...
 

Malezi bora ni yapi[emoji848]
 
Kwan msanii ni diamond tuuu,
 
Pure bongo fleva ndio ipi ?
 
imba na wewe tusikie,,,waambie wenye muziki wauchukue usiendelee kuharibiwa
 
Tangu mwaka 2017 watu walianza kuleta Nyuzi za kuanguka huyu jamaa lakini hakuanguka mpaka leo kiufupia huu ni mda wake waendelee kuvumilia tu maumivu na fujo zisizo umiza..Rhumba limekua Segere.

Halafu Nimwambie Ndugu mtoa uzi Diamond ndo msanii pekee Tanzania ameimba Nyimbo karibu za aina zote na ni msanii anayebadilisha mziki atakavyo akiimba staili flani utaona na wengine wanafuata...pia ndiye msanii anayejua kuusoma mziki na watu wanaosikiliza kwa haraka na kutoa nyimbo ambayo hata kama haina ujumbe muhimu basi utatikisika kichwa na utasuuza roho yako.

Mwisho "Hakuna kiumbe chenye roho mbaya kama maskini" kaa hapo hapo ukisubiri anguko lake
 
Wewe ni mchawi hats kama hutumii ndumba.
 
Reactions: BAK
Baadhi ya Watanzania kwa roho mbaya!!! Sasa wewe unafaidika vipi na kuanguka kimuziki kwa DP!? 😳😳😳

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…