Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
watu hawajui mamake alihangaika vipi na mtoto ..baba mtu si alimbwaga mtoto akihisi anapunguza najukumu...sasa atulie tu sio kupiga kulele hasaidiwi wakati yeye hakusaidia
Fundisho kwa wakata viuno afu mimba hawazitaki...pole zake augue pole
acheni ujinga..
abdul atabaki kuw baba diamond hata kama alimfanya nini..
mtu akishakuwa mzazi n mzazi tu milele hata akukosee nini,kama alikasirishwa sana na alichofanyiwa na huyo babake basi asijiite NASIBU ABDUL atafte mzazi mwngne wa kiume..
alafu kwa yeyote aliyeeishi na mwanamke(kuoa) n lazima atamuonea baba diamond huruma,hakuna watu wasumbufu kama wanawake,huwez jua alimkera nini hadi kumkimbia..
Michael essien pia alitoswa na dingi yake. Na yy baada ya kupata mafanikio akamtosa pia. Na hajawahi kupata laana.
Dingi yake Huyo alikufa nadhani ni mwaka juzi au jana.
watu hawajui mamake alihangaika vipi na mtoto ..baba mtu si alimbwaga mtoto akihisi anapunguza najukumu...sasa atulie tu sio kupiga kulele hasaidiwi wakati yeye hakusaidia
dah inaonekana na wewe ni mhanga wa kutelekezwa!!
Unampa pole ya nini shwaini zake!
Fundisho kwa wakata viuno afu mimba hawazitaki...pole zake augue pole
Diamond aliwahi kuimba hivi kwenye wimbo wake "Binadmu"
"Kidogo nakula na Mama yangu, siwezi kuwasahu na ndugu zangu, salaam zifike kwa baba yangu, japo ALINIKATAA"
Ndo maana tunaambiwa tumshukur mungu kwa kila jambo, ningekuwa mimi ningemshukuru sana baba diamond, kwa sababu yeye ndo aliyemfanya afike apo alipo kimafanikio, kumkataa kwake na kutokumsomesha kumemfanya awe mwanamuzik mkubwa sana na mwenye mafanikio, pengine angesoma angekuwa mwalimu asingekuwa na mafanikio kama aliyonayo sasa so hana haja ya kumchukia
Kwakweli kuna vitu vinakera sana acha tu mama ake ajifaidie matunda ya kuhangaika mwenyeweNa Mungu alivyo hakuchukui duniani mpaka uone mafanikio ya mtoto uliyemkataa.....
Q chief nae alikua
na kiburi kama hicho tena si unakumbuka ULINIKATAA yake? Bila shaka
majibu ya mzee katwila yanaonekana!. Na huyo bbwege mwache tu amsimange
mtu aliyempa mimmba mamaake!
Soma vizuri nilichondiaka, au umeona neno CCM tu?