Diamond laana hiyo!

Diamond laana hiyo!

Fundisho kwa wakata viuno afu mimba hawazitaki...pole zake augue pole
 
watu hawajui mamake alihangaika vipi na mtoto ..baba mtu si alimbwaga mtoto akihisi anapunguza najukumu...sasa atulie tu sio kupiga kulele hasaidiwi wakati yeye hakusaidia

Thank you! Akome! Tena asife haraka azidi kuona mafanikio ya kijana aliyemkataa! Salaam ziwafikie vilaza wote wanaokataa watoto!
 
acheni ujinga..
abdul atabaki kuw baba diamond hata kama alimfanya nini..

mtu akishakuwa mzazi n mzazi tu milele hata akukosee nini,kama alikasirishwa sana na alichofanyiwa na huyo babake basi asijiite NASIBU ABDUL atafte mzazi mwngne wa kiume..

alafu kwa yeyote aliyeeishi na mwanamke(kuoa) n lazima atamuonea baba diamond huruma,hakuna watu wasumbufu kama wanawake,huwez jua alimkera nini hadi kumkimbia..

Ukigombana na hawara yako ndiyo ukatae watoto? Suala si mama mama yao suala ni wewe uliyemkataa mtoto!
 
Michael essien pia alitoswa na dingi yake. Na yy baada ya kupata mafanikio akamtosa pia. Na hajawahi kupata laana.

Dingi yake Huyo alikufa nadhani ni mwaka juzi au jana.

Kuna ndugu yetu mmoja alitoswa na baba yake....sasa hivi anafanya kazi TRA baba yake kamfwata eti wew mwanangu....akamwambia mim sina baba....mama yangu alipata mimba kwenye mti ndo nikazaliwa......mpaka leo kampotezea na laana binti hajapata zaidi mambo yake yananyoka tu......
 
watu hawajui mamake alihangaika vipi na mtoto ..baba mtu si alimbwaga mtoto akihisi anapunguza najukumu...sasa atulie tu sio kupiga kulele hasaidiwi wakati yeye hakusaidia

Well, kuna mambo ni magumu sana kuyasemea kwa uhakika!
 
Response nyingi za KE kwenye huu uzi umewakilisha jinsi mlivyo ki-uhalisia.
 
Unampa pole ya nini shwaini zake!

Hahaahaaa hastairi pole aisee.....pole apewe mama dai...mana kukimbiwa si jambo rahisi....ukizingatia jamii inakusimanga...kapewa mimba kakimbiwa...mara ooh kazalia nyumbani afu baadae mtoto anafanikiwa anataka nae ale matunda ya mtoto.....manina zake haswa......
 
Mnaosema alimkataa mna ushahidi?? Hata km alimkataa,wajibu wake km mtoto unabaki palepale,hivi akifa hiyo mzee diamond ataenda kusema kwa Mungu Kuwa hakumuhudumia kisa alimkataa?
 
Diamond aliwahi kuimba hivi kwenye wimbo wake "Binadmu"

"Kidogo nakula na Mama yangu, siwezi kuwasahu na ndugu zangu, salaam zifike kwa baba yangu, japo ALINIKATAA"

Q chief nae alikua na kiburi kama hicho tena si unakumbuka ULINIKATAA yake? Bila shaka majibu ya mzee katwila yanaonekana!. Na huyo bbwege mwache tu amsimange mtu aliyempa mimmba mamaake!
 
Sijaona laana hapo, sema tu angempa hata mama yake au mtu akamuagiza pesa za matibabu yaan angetoa kama kutoa tu,lakin wanaume wanaokataa watoto ndio fundisho hilooo
 
hv mnajua ni kwa kiasi gani mama diamond alipata shida na diamond kuanzia mimba, kulea hadi amefika hapo halipo....diamond hana kosa na laana haitompata,wanaume mjifunze kupitia kwa mwanaume mwenzenu hii inadhihirisha kuwa hakuna anayejua kesho itakuwaje.........kuhusu zawadi aliyoitoa kwa mama yake mbona ni ndogo sana bado haijafikia thamani ya mama kupata usumbufu peke yake...
 
Sikubaliani na wewe. Kama maganikio yapo, yapo tu kama asingekuwa mwanamuzi baasi mungu angemtoa kivingine.. Angeweza kuanzia ualimi then akapanda kivingine.. Kama ipo ipo tuu
Ndo maana tunaambiwa tumshukur mungu kwa kila jambo, ningekuwa mimi ningemshukuru sana baba diamond, kwa sababu yeye ndo aliyemfanya afike apo alipo kimafanikio, kumkataa kwake na kutokumsomesha kumemfanya awe mwanamuzik mkubwa sana na mwenye mafanikio, pengine angesoma angekuwa mwalimu asingekuwa na mafanikio kama aliyonayo sasa so hana haja ya kumchukia
 
Dah ata km almkataa asmtupe khv jamani!! Kuna neno hua naskia lnaitwa Laana.. Asamehe maisha yaendelee... Huo n ugonjwa tuu
 
Q chief nae alikua
na kiburi kama hicho tena si unakumbuka ULINIKATAA yake? Bila shaka
majibu ya mzee katwila yanaonekana!. Na huyo bbwege mwache tu amsimange
mtu aliyempa mimmba mamaake!

We ndiye -----,kwa wenzio tu,yangekukuta wewe ungesema hivyo kirahis rahis tu.
 
Back
Top Bottom