Diamond laana hiyo!

Apone halafu pesa itaingiaje.Nyie watu wapo very strategic ktk kutafuta mkwanja huenda mshua ugonjwa ukizidi pesa zinaongezeka alaaaaah
 
Ndio wazazi wengi wanafanya ivyo nakimbia majukumu nikijua mtoto atanitafuta tu huuu ni zaidi ya unyama mbona ww baba yako akukukana? Mie nampa big up diamond ningekuwa mie hata akifa sikanyagi mguuu dawa ya moto ni moto
"The weak can never forgive. Forgiveness is the attribute of the strong." - Mohanda gandhi..you are too weak beibei!!.afu we ukitenda dhambi unaenda kumuomba Mungu akusamehe while ww hutaki kumsamehe mja wake!
 
"The weak can never forgive. Forgiveness is the attribute of the strong." - Mohanda gandhi..you are too weak beibei!!.afu we ukitenda dhambi unaenda kumuomba Mungu akusamehe while ww hutaki kumsamehe mja wake!

Hapana bana wanaume wanauzi na wanabowa mtu mtoto wako mwenyewe unashindwa kumthamini? Sawa mungu anasamehe ila kwangu mie kumsamehe mwanaume anayefanya kusudi wala sina habari naye mpenzi!
 

Ampatanishe akose mali? Usikute bi mkubwa anachochea ugomvi kwa kuwa anajua baba ndomo akipatana na ndomo bas yeye uwezekano wa kupata mali za mwanae ni zero, ni yale yale kama ya baba kanumba na mama kanumba, mi nadhan huyo mama kama anampandikiza diamond roho ya chuki kwa maslahi yake binafsi aache kabisa na akumbuke diamond yule ni baba yake tu hata afanyaje.
 

Inaonyesha mama hataki diamond apatane na baba yake inahitaji busara na hekima sana, Sidhani kuna kitu diamond atapoteza akijua ukweli kwann baba yake akumtunza, na sio lazima akipatana nae hata Kama diamond atakufa baba yake atadai Mali! Anaweza kuandika Mali zake ziende kwa nani. Labda kuna mambo mama diamond hayataki mwanae ayajue pengine hata hayaelezeki kwa mtoto anajaribu kuficha, Naona kuna visasi na chuki na hasira kwa diamond kwa baba yake! Kibaya zaidi hicho kidonda alichonacho hakiwezi kupona bila upatanisho na kitazidi kuwa kibaya zaidi ikiwa baba yake Mungu atamuita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…