Diamond laana hiyo!

Diamond laana hiyo!

Apone halafu pesa itaingiaje.Nyie watu wapo very strategic ktk kutafuta mkwanja huenda mshua ugonjwa ukizidi pesa zinaongezeka alaaaaah
 
Ndio wazazi wengi wanafanya ivyo nakimbia majukumu nikijua mtoto atanitafuta tu huuu ni zaidi ya unyama mbona ww baba yako akukukana? Mie nampa big up diamond ningekuwa mie hata akifa sikanyagi mguuu dawa ya moto ni moto
"The weak can never forgive. Forgiveness is the attribute of the strong." - Mohanda gandhi..you are too weak beibei!!.afu we ukitenda dhambi unaenda kumuomba Mungu akusamehe while ww hutaki kumsamehe mja wake!
 
Hapana bana wanaume wanauzi na wanabowa mtu mtoto wako mwenyewe unashindwa kumthamini? Sawa mungu anasamehe ila kwangu mie kumsamehe mwanaume anayefanya kusudi wala sina habari naye mpenzi!
 
Nafikiri mtu mwenye kuweza kumpatanisha diamond na baba yake ni mama wa diamond, na inaonyesha Hana dalili ya kufanya hivyo kwasabab ya upungufu wa hekima regardless ya mateso aliopitia. Hata jay z alipatanishwa na baba yake kwa busara ya mama yake! Diamond Hana father figure wa kum guide kimaisha Ukiangalia tabia na matendo yake yana vinasaba vya kike zaidi kwa vile malezi yake alilelewa na mama tu, I hope he's wise enough to reconcile with his father before he's gone for good pengine ndio atakuja kugundua kiasi gani ilikuwa muhimu kupatana na baba yake! Hakuna hata mmoja wetu anayejua kwa uhakika kwann baba yake alikimbia Mimba ya diamond kuna watu wanadai mama yake alikuwa muuza pombe za kienyeji watu wengi walikuwa wanajipigia tu kwa starehe zao, Ni wakati muafaka ajue kisa cha baba yake kukimbia na Sidhani Kama alishawahi kufanya hivyo! Zaidi ya kushibishwa maneno ya upande mmoja. Kuna mambo inabidi wakati mwingine ukubali ili yaishe ili upate Amani zaidi, visasi ni kwa watu wenye upungufu wa hekima, hata South Africa alipotoka Mandela walifanya reconciliation ya mambo yaliotokea huko nyuma.

Ampatanishe akose mali? Usikute bi mkubwa anachochea ugomvi kwa kuwa anajua baba ndomo akipatana na ndomo bas yeye uwezekano wa kupata mali za mwanae ni zero, ni yale yale kama ya baba kanumba na mama kanumba, mi nadhan huyo mama kama anampandikiza diamond roho ya chuki kwa maslahi yake binafsi aache kabisa na akumbuke diamond yule ni baba yake tu hata afanyaje.
 
Inaonyesha mama hataki diamond apatane na baba yake inahitaji busara na hekima sana, Sidhani kuna kitu diamond atapoteza akijua ukweli kwann baba yake akumtunza, na sio lazima akipatana nae hata Kama diamond atakufa baba yake atadai Mali! Anaweza kuandika Mali zake ziende kwa nani. Labda kuna mambo mama diamond hayataki mwanae ayajue pengine hata hayaelezeki kwa mtoto anajaribu kuficha, Naona kuna visasi na chuki na hasira kwa diamond kwa baba yake! Kibaya zaidi hicho kidonda alichonacho hakiwezi kupona bila upatanisho na kitazidi kuwa kibaya zaidi ikiwa baba yake Mungu atamuita.
 
Back
Top Bottom