Diamond lipa kisasi

mmteule

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,883
Reaction score
14,600
Brother Chibu/Simba/Dangote/Sukari ya Warembo/Rais wa WCB/Domo/ Mzee wa TUMEWASHA ngoja niishie hapo.
Sasaaaa hebu sawazishaaaa/Lipa kisasi cha Kiba na Samatta kwa jamii ya Watanzania ili nawe pia kuonyesha kuguswa na jamiii yako ya Watanzania na matatizo yanayowasibu. Elimu na Afya ni vigezo muhimu kuvichangia kwa mbinu zozote. Sera ya Serikali sasa ni Ujenzi wa Zahanati kila KIJIJI hivyo serikali bado inahitaji mchango wa Wadau kama wewe.
Ushauri Brother: Fanya bonge la Music Concert ukiitisha wasaniii marafiki zako wakubwa kama akina Psquare, Techo, Wizkid, Davido nk nk waje wakiwashe hapo Taifa na Likizo hiii hakika utalipa kisasi maana Nyomi itakuwa ya maana haswaaa na tutajenga zahanati kama 10 hiviiii.
Aminia babake mi Naota tuuu mitaa London Lounge huku Nikitafakari Mhe. Wazir UMMY atakavyomwaga cheche siku ya hii Concert. Waiter leta ingine
 
Duh pole sana hio concert itatajirisha TRA ,basata hawa jamaa huwa hawachezi mbali na fursa hizi
 
.. akina Psquare, Techo, Wizkid, Davido nk nk waje wakiwashe hapo Taifa ...

Gharama za kuwaleta na kuwaweka hao mastaa Bongo zinatakiwa zisizidi mapato, vinginevyo itakuwa ni hasara na hata hiyo hela haitapatikana. Usifikiri Samata na Kiba walikuwa wajinga kuchaguana wabongo watupu, hapa ni nyumbani wala hawahitaji kuishi katika Hotel
 
Huu utimu utakuja kuwatoa roho, shida ya mleta mada si ushauri kwa Diamond bali ni kutangaza alichokifanya Kiba. Kuonesha diamond hajafanya jema lolote
 
Una point but tatizo ulivyoiwasilisha kiuchochezi chochezi...
 
Aminia babake mi Naota tuuu mitaa London Lounge huku Nikitafakari Mhe. Wazir UMMY atakavyomwaga cheche siku ya hii Concert. Waiter leta ingine
Kiwanja changu hicho London Lounge Ubungo External pembeni na Mkapa EPZ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…