Brother Chibu/Simba/Dangote/Sukari ya Warembo/Rais wa WCB/Domo/ Mzee wa TUMEWASHA ngoja niishie hapo.
Sasaaaa hebu sawazishaaaa/Lipa kisasi cha Kiba na Samatta kwa jamii ya Watanzania ili nawe pia kuonyesha kuguswa na jamiii yako ya Watanzania na matatizo yanayowasibu. Elimu na Afya ni vigezo muhimu kuvichangia kwa mbinu zozote. Sera ya Serikali sasa ni Ujenzi wa Zahanati kila KIJIJI hivyo serikali bado inahitaji mchango wa Wadau kama wewe.
Ushauri Brother: Fanya bonge la Music Concert ukiitisha wasaniii marafiki zako wakubwa kama akina Psquare, Techo, Wizkid, Davido nk nk waje wakiwashe hapo Taifa na Likizo hiii hakika utalipa kisasi maana Nyomi itakuwa ya maana haswaaa na tutajenga zahanati kama 10 hiviiii.
Aminia babake mi Naota tuuu mitaa London Lounge huku Nikitafakari Mhe. Wazir UMMY atakavyomwaga cheche siku ya hii Concert. Waiter leta ingine