Diamond mdogo wangu, naomba nikushauri kidogo

Yani,mwaka wa7 huu wanasubir ashuke,wamesahau alishatoka TZ YUPO AFRICA AND THE WORLD SASA,WAACHE WASUBIRI TU MAANA SI KWA benchi hilo okaa kusubir
Tatizo la watanzania wengi ndlo hili. Mtu anapomshaur mtu wengi wqnaona ni kama upinzani. Lakini mnasahau msemo unaosema "criticism makes it perfect".

Yan Diamond mnamuona kma mungu mtu. Kuwa yy hweZ kosea kila ki2 anachofanya ni sawa.
 
OK Mkuu,lakini kuna ushaur na kuna laghai.We naimani msomi vizur unajua lugha ya picha.Kwa lugha ya picha wengi mnatumia staili hyo ili lolote likitokea mseme NILISEMA.by the way hamia kuwashaur na hao BASATA na uwaulize vizur madhumuni yao nn?maama tuendako kama wanavyosema watu, music watapiga watu na suti na magauni tu.
 
Tatizo la watanzania wengi ndlo hili. Mtu anapomshaur mtu wengi wqnaona ni kama upinzani. Lakini mnasahau msemo unaosema "criticism makes it perfect".

Yan Diamond mnamuona kma mungu mtu. Kuwa yy hweZ kosea kila ki2 anachofanya ni sawa.
Tatizo mifano uliyotoaa na ukiliinganisha na uhalisia ni UONGO MTUPU
1.Drake hafanani hata kidogo na Lili Wyne.
2.Hayupo msanii USA alikosa tuzo au kushuka kwa sababu ya picha za uchi na nyimbo za MATUSI ,ukiona msanii kashuka USA ,jua wakati wake umepita au kaishiwa na ubunifu.

Ungejaribu kuja na reference za ukweli ili uwe na fact za kutosha ,hamna kitu zaidi ya hapo ni chai tupu.
 
Wema na Joketi,na team wamempongeza....
 
Ahahaaaah...
Umemuweka kwenye kona mbaya,sijui kama atachomoka hapa..!
 
Tatizo la watanzania wengi ndlo hili. Mtu anapomshaur mtu wengi wqnaona ni kama upinzani. Lakini mnasahau msemo unaosema "criticism makes it perfect".

Yan Diamond mnamuona kma mungu mtu. Kuwa yy hweZ kosea kila ki2 anachofanya ni sawa.

We umshauri Diamond wakati unapigwa na vumbi na bando lako la kunyapianyapia? Yaani ni sawa na mimi Baba Gaude nimpe ushauri Bakhresa humu JF. We sema umeandika stori tu sio ushauri.
 
Wewe ni mpumbavu wa kutupa. Kwahyo wanaompa ushauri bakhresa ni wakina billigates eeh?
 
Umeongea neno la muhimu..
Lkn kusema drake kakopy kurap kutoka kwa lil wyne uko chaka..labda drake unaemuongelea wewe sio drake tunaemjua sisi aliyeshinda billboards 13
 
I don't think if u have any idea of "Hashtag flow"
 
well say brother... Mwenye masikio haambiwi sikia..
 
Tatizo la watanzania wengi ndlo hili. Mtu anapomshaur mtu wengi wqnaona ni kama upinzani. Lakini mnasahau msemo unaosema "criticism makes it perfect".

Yan Diamond mnamuona kma mungu mtu. Kuwa yy hweZ kosea kila ki2 anachofanya ni sawa.
Tatizo la wabmgo kuna kundi la viongozi na nyumbu, kila mtu na nyumbu wake na siku zote hawa nyumbu wanaona mtu wao ni mungu watu hawakosei hata kidogo
 
Wewe ni mpumbavu wa kutupa. Kwahyo wanaompa ushauri bakhresa ni wakina billigates eeh?

Wewe ndio mpumbavu wa kiwango. Sasa unafikiri we utampa ushauri gani Bakhresa wakati we mwenyewe hujakula tangu juzi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…