"
Sasa narudi kwa diamond mdogo wangu.
Kwa haka katabia unakotaka kuanzisha. Katakutoa kwenye game vibya sanaa. Utakuwa unatoa hit songs kila siku lakini Anashangaa awards wanapewa wengine"
heradius12 Hapo haupo sahihi,alafu umetupiga changa na unaoneka si mfuatiliaji ,hivi HUMBLE ya kendrick Lamar ina matusi mangapi na imechukua mpaka grammy au unawajua vizuri Madona,Beyonce, wanapicha kibao za nudity umeangalia tour zao walizopiga,utajiri wao,Tuzo zao na kama kuhusu matusi ktk nyimbo mia za hip hop ,utakuta nyimbo 3 ndio hazina matusi zote mitusi ya kumwaga na tuzo wanachukua na kama hujui hao BET ndio wanaoongoza kuwatuza hao wasanii unao waita ww wanamatusi.Umetupiga changa hapo sehemu uliyosema et DRAKE na Lil wyne wanafanana ,hapo umetudanganya.Hebu fuatilie EMINEM (huyo Drake mtoto wa juzi),video zake za zamani na mistari yake na kaa ukijua zaid ya 80% ya nyimbo za Hip Hop ni matusi matupu na tuzo wanachukua pamoja na matusi yao na hizo picha za uchi.