Hahahaha kwakweli maana ndio sehem yetu ya kujichanganya na wadau toka maeneo tofauti tofautiHahahaa. Kwema my dear. Leo weekend ni mwendo wa kuzungukia majukwaa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha kwakweli maana ndio sehem yetu ya kujichanganya na wadau toka maeneo tofauti tofautiHahahaa. Kwema my dear. Leo weekend ni mwendo wa kuzungukia majukwaa tu
Wambie bado kuna DNAMaisha huwa tofauti mbona hujazungumzia Kendrick Lamar-Humble maneno ina imechukua tuzo ngapi Grammy.
Huwezi kutoa maoni yako bila kuita watu wajinga?Punguza ujinga weweee,huko marekani na LATIN wanapiga utupu kabisaa na hawajafungi.UJINGA WENU BASATA WAMEGUNGIA VITU KWA BILA KUWAPA SABABU,MNAJIONGEZA WENYEWE.basi mnazid kua mazezeta mkichanganya na chuki basi ndo wehu kabisa
Tatizo wabongo wanakalili sana hata Juliana Shonza aliposikia Rais Magufuli amesema msanii anasema bongo bahati mbaya bado munamuacha ndio wao wakaanza kuwafungia wasanii wakati huko nyuma kuliko na nyimbo nyingi tu kama wewe Bitozi-John walker pia Anaconda ya Nick minaj ipo tu na haijawahi hata kuongelea.Wambie bado kuna DNA
Tatizo wanaamini uchi wa mmarekani umekaa katika unyayo,alafu hajui hao BET ndio wanaongoza kuwatuza hao wanaimba hizo nyimbo wanazosema za matusi,karibia kila mwaka.Tatizo wabongo wanakalili sana hata Juliana Shonza aliposikia Rais Magufuli amesema msanii anasema bongo bahati mbaya bado munamuacha ndio wao wakaanza kuwafungia wasanii wakati huko nyuma kuliko na nyimbo nyingi tu kama wewe Bitozi-John walker pia Anaconda ya Nick minaj ipo tu na haijawahi hata kuongelea.
Tena BASATA wakiambiwa wanatumika wasishangae hata kidogo kwani Wasanii wengi wa Tanzania wamechaguliwa kwenye Hip hop Muziki award huko Uganda hawajapost kwenye page zao hata Sapoti kwenye vyombo vya habari pia Diamond platnumz amechaguliwa kwenye Tuzo kubwa huko USA na Nigeria hawajatoa sapoti pia wameshindwa hata Kutoa sapoti za Tunzo za sinema zetu wanataka watu wakifanikiwa ndio wadai kodi mfu kabisa hili Baraza.Tatizo wanaamini uchi wa mmarekani umekaa katika unyayo,alafu hajui hao BET ndio wanaongoza kuwatuza hao wanaimba hizo nyimbo wanazosema za matusi,karibia kila mwaka.
Tatizo wazee wengi pale BASATA wamepewa kazi ya kusimamia mziki wa vijana ,wakati hawajui Music Industry ya sasa inaendeshwaje,ndio tabu inaanzia hapo .Utakuta pale viongozi wote wa BASATA ,hayupo hata mmoja mwenye email,acc ya instagram,facebook au twitter yaani hawajielewi wale Wazee kwa hiyo kujua hivi vitu wanashindwa kwa sababu wao ni toleo la zamani,wapo tu maofisini wana kazi ya kukuna vitambi.Tena BASATA wakiambiwa wanatumika wasishangae hata kidogo kwani Wasanii wengi wa Tanzania wamechaguliwa kwenye Hip hop Muziki award huko Uganda hawajapost kwenye page zao hata Sapoti kwenye vyombo vya habari pia Diamond platnumz amechaguliwa kwenye Tuzo kubwa huko USA na Nigeria hawajatoa sapoti pia wameshindwa hata Kutoa sapoti za Tunzo za sinema zetu wanataka watu wakifanikiwa ndio wadai kodi mfu kabisa hili Baraza.
We unaishi dunia y wapii,ushawaona kina RIHANA,MADONA,LOPEZ NA WENGINE WKIWA 99% UCHI NA USHASKIA WANAFUNGIWA!!!!HIVI MKIAMBIW MNAKURUPUKA NA MAEMOTION MTAKATAAANdugu yangu acha kuonesha ujinga wako. USA hufanya Rating na labelingi za content za wasanii sio mpaka wafungie. Kwa mfano movies zinakuwa Rated na Motion Picture Association of Americaa wanatumia G, PG , PG 13, R, na NC 17.
Na kwenye miziki pia wanalabel ya PL.
So sio mpaka wafungiw mziki. Wao wanahakikisha wanacategorize content il observer achukue precoution kabla ya kuangalia au kusikiliza.
Hivi unachobishana apo ni nini. Mbna hueleweki au lazima tu wewe ubishane. Nani kasema kuwa wanafungiwa?We unaishi dunia y wapii,ushawaona kina RIHANA,MADONA,LOPEZ NA WENGINE WKIWA 99% UCHI NA USHASKIA WANAFUNGIWA!!!!HIVI MKIAMBIW MNAKURUPUKA NA MAEMOTION MTAKATAAA
Ungemaliza na kiswahili tu..!Chungu lakini dawa, wenye team zao wata waka lakini message delivery,,.
diamond nazani ataka kumpoteza shabiki yake nambari moja tz,ndugu Jakaya Mrisho Kikwete...sidhani km mstaafu atafurahishwa na hii video,naomba Kikwete amuite na amuonye kwa wema.
btw,ngoma ni fire,replay since released offiacially!
Wewe hujui matusi."
Sasa narudi kwa diamond mdogo wangu.
Kwa haka katabia unakotaka kuanzisha. Katakutoa kwenye game vibya sanaa. Utakuwa unatoa hit songs kila siku lakini Anashangaa awards wanapewa wengine"
heradius12 Hapo haupo sahihi,alafu umetupiga changa na unaoneka si mfuatiliaji ,hivi HUMBLE ya kendrick Lamar ina matusi mangapi na imechukua mpaka grammy au unawajua vizuri Madona,Beyonce, wanapicha kibao za nudity umeangalia tour zao walizopiga,utajiri wao,Tuzo zao na kama kuhusu matusi ktk nyimbo mia za hip hop ,utakuta nyimbo 3 ndio hazina matusi zote mitusi ya kumwaga na tuzo wanachukua na kama hujui hao BET ndio wanaoongoza kuwatuza hao wasanii unao waita ww wanamatusi.Umetupiga changa hapo sehemu uliyosema et DRAKE na Lil wyne wanafanana ,hapo umetudanganya.Hebu fuatilie EMINEM (huyo Drake mtoto wa juzi),video zake za zamani na mistari yake na kaa ukijua zaid ya 80% ya nyimbo za Hip Hop ni matusi matupu na tuzo wanachukua pamoja na matusi yao na hizo picha za uchi.
Haya niambie wewe unayejua hayo matusi.Wewe hujui matusi.
Yani,mwaka wa7 huu wanasubir ashuke,wamesahau alishatoka TZ YUPO AFRICA AND THE WORLD SASA,WAACHE WASUBIRI TU MAANA SI KWA benchi hilo okaa kusubirHuu mwaka wa saba sasa mnaongea maneno yanayofanana jamaa yupo tu
Wewe hujui matusi.