Diamond mdogo wangu, naomba nikushauri kidogo

Sorry kama nimekukwaza, lakini kapuku kama wewe kumpa ushauri Bakhresa ni comedy aisee.
Siwezi kupoteza muda kubishana na mpuuz kma ww. Kwanza upo nje ya hoja, hujui unachokiongea, upo mbele ya keyboard unajifanya unamjua kila mtu kala anauwezo kiac gani. Na umeshaprove kuwa unaelimu ndogo sana ukiwa cdhan kama hata form 6 umemalza ww.
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom