Diamond mdomo huu vip tena?

shosti..bongo unaijua!kila hatua ukipiga kimaendeleo unapata washkaji wapya!shetta au ommy wanaweza kumshauri nini diamond zaidi ya kusikia raha kuhang naye!ila atashauriwa ni yeye kusikiliza au kupoteza!
kama ni hivyo kazi ipo...ila kitu cha nidanganye kimenibamba ile mbaya nahofia kisije funika mama kimbo ya mkali wetu wa kino
 
huwa namuona mitaani ila kimziki ndo basi tena ndo hicho nilichokuwa namaanisha...naye alikuwa hivi hivi kama anatumia kizizi aisee
 
Sijui na mimi nina pink eyes er ..red eyes? maana hii rangi ya huu mdomo sielewi elewi!
 
hivi mkuu BAGAH kuna mtu alipata nafasi ya kumuomba Mungu amuumbe jinsi ya huyo mtu atakavyo au diamond na sisi wote tumejikuta tu tuko kama tulivyo?
Tusihoji wala kudhihaki kazi za mikono ya Mungu.
Wewe watu wanashanga rangi sio muundo wa mdomo!toka usingizini!
 
Last edited by a moderator:
kama ni hivyo kazi ipo...ila kitu cha nidanganye kimenibamba ile mbaya nahofia kisije funika mama kimbo ya mkali wetu wa kino
Nidanganye nimeikubali!kale ka shette kana bahati ya kugongewa chorus kali!bonge la nyimbo!@shosti..audio mama kimbo inaweza ikamezwa na nidanganye ila video!mama kimbo itatisha!kule kijana wetu muonekano si upo ndo atapopoteza!mavazi show kaisimamia sheria ngowi mwenyewe!unategemea nini!kitu kizuri pia live show mkali wa kino yuko fit n unajua nini?labda ratiba ziingiliane ila show nyingi platinumz hupenda kuwa na mkali akimsindikiza!platinumz wetu na tutamrekebisha tu!
 

hahaha.. cheusimangala kama nakuona vile unavojaribu kutumia nguvu nyingi!..aya ndugu aendelea kununia gizani!..
 
Last edited by a moderator:
Wallah sijawahi kukusoma ukiwa umekasirika hivi!!!

Hakika leo utakuwa umechukizwa sana na hawa vinyakunyaku...

hata mi cja penda wanavyo muongea platinamu we2 watz mwachen bna jama mkali2 mpende msipende legrema mkali anatafuna pesa mpaka muuione dunia chungu mta jiju wenye roho mbaya ya chuki na wivu kwendeni zenu huko
na we unaeokosoa maumbile ya mdomo wake wako upoje na fikiria bna co kukurupuka 2 huo ni uduwanz au ulimbukeni wako hebu peleka wivu huko.
 

Maisha yame wapiga wanabaki kujadili watu.
wivu mbaya sana.
 
Dah waswahili bana, mwezako kaenjoy kupaka lip stik we kinakuhusu nini....
 
Du, kweli wanawake mwalimu wao ni kipofu mwishowe hujikuta wanatukana wanaume bure. Sasa domo kama hilo kazi yake nini kwa wanawake?

Mzee hujui kazi ya lips nene, kunyonyana ndimi,
 
kwa size ya huo mdomo angekuwa jike sijui nani angemridhisha
 
diamond chapati hakunji inapita nzima nzima. Manake hili domo mweh! Mi chichemi tena.
 
Martina hapa hapo!!!!!

Ina maana size ya mdomo ni sawa na size ya......?????


Okada hapo kwenye swali lako mkuu umetisha so kula gwara! ila Marytina tafadhali njoo ujibu swali lako hapa maana we ni ke ndie ulietoa dibaj so we believe majbu unayo na unachokinena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…