Diamond:mida hii Off to Zanzibar kwenye mazishi ya mzazi wa Wema...

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Msije sema mbona jamaa hajajishughulisha kabisa kwenye msiba wa mzazi wa Wema
 
amefanya vema ila mshauri avae vizuri huko kiheshima coz ule ni msiba na sio show ya fiesta. kata k na visuruali vya kubana ngozi sio mahali pake.
 
tuko bize na mambo mengine bwana dimonnd diamond kila kukicha
 
amefanya vema ila mshauri avae vizuri huko kiheshima coz ule ni msiba na sio show ya fiesta. kata k na visuruali vya kubana ngozi sio mahali pake.

usijl..atavaa ki naija zaidi
 
tuko bize na mambo mengine bwana dimonnd diamond kila kukicha

hili ni jukwaa la celebrity na heading ya uzi inasema ni diamond kama ungekua bize na mambo mengine ungefungua jukwaa lingine!!!
 
hivi mama wema alikuwa mke wa ngapi kwa marehemu?
 
Aaaawwww sooooo sweet! Nimependa, penina atakwenda na lemba lake, au safari hii atawaacha wenzake wapumuwe.......!??

Hivi huyu dada kakosa nini? Kwa nini wanawake wengi wanamchukia kisa tu aliwahi kuwa na Diamond..yaani kupinduliwa kuna watu wamefanya sherehe. Mwenzenu katendwa..mnamuona mtendaji ndiye shujaa!
 
Aaah aya sasa wakatumie vizuri FURSA uko zanzibar,huchelew kusikia wamelala kweny hotel moja,naona sababu ya kubanjuan ishapatikana tayar...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…