heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Msije sema mbona jamaa hajajishughulisha kabisa kwenye msiba wa mzazi wa Wema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuko bize na mambo mengine bwana dimonnd diamond kila kukicha
amefanya vema ila mshauri avae vizuri huko kiheshima coz ule ni msiba na sio show ya fiesta. kata k na visuruali vya kubana ngozi sio mahali pake.
Heading si umeiona kabisa kuna jina la Diamond..
kilichokutuma uifungue????
Hapo chacha....
tuko bize na mambo mengine bwana dimonnd diamond kila kukicha
usijl..atavaa ki naija zaidi
Msije sema mbona jamaa hajajishughulisha kabisa kwenye msiba wa mzazi wa Wema
Aaaawwww sooooo sweet! Nimependa, penina atakwenda na lemba lake, au safari hii atawaacha wenzake wapumuwe.......!??
hivi mama wema alikuwa mke wa ngapi kwa marehemu?
Msije sema mbona jamaa hajajishughulisha kabisa kwenye msiba wa mzazi wa Wema
we na mme wako mnamatatizo kila kikicha et off to zanzimbar ndio english ya wap?