poleni mnatokwa povu za bure
..na nyie alowapa ruhusa ya kuongelea peesonal issue za watu ni nani??
h ha ha ha
Me hata sijali..kelele zenu hizo
Hapa nahisi nimeingia sipo....
watanzania cjui wakoje..wanpenda ushabikiii...
Hakuna kitu kama hicho..na hakitotokea..
Hamuelew kilicho nyuma ya pazia khusu hawa watu...
Mnahadaika tu na media
Usiongee usichokijua.
hizo taarifa kakutangazieni nani?
watu wanalala na kuamka pamoja kil siku..we unasema kaachwa.kivip yani...
usiwe unaongea vya kisikia
..
Usiongee usichokijua.
hizo taarifa kakutangazieni nani?
watu wanalala na kuamka pamoja kil siku..we unasema kaachwa.kivip yani...
usiwe unaongea vya kisikia
..
Pamoja na yote
Mi nilikuwa naangalia hyo avatar yake mtoa mada coz kuna uzi alisema yy mkali.
Dah......
wanasemaga jikubali
Watanzania cjui wakoje..wanpenda ushabikiii...
hakuna kitu kama hicho..na hakitotokea..
hamuelew kilicho nyuma ya pazia khusu hawa watu...
mnahadaika tu na media
heaven on desert tatizo lako inawezekana ujui ukomo wa kazi yako ya kuwa msemaji wa diamond.
Kuna vitu vina kufanya watu wa kudharau maana unataka kuongelea kila kitu na kuingilia kila kitu kuhusu diamond na unasahau kuwa wewe hauko na diamond kila mahala.
Hata wasemaji wana mipaka yao lakini wewe huna mipaka kabisa unataka kuongea kila kitu, kwanini muda mwingine usiwe una nyamaza? Kazi yako hiwe kutolea ufafanuzi mambo ya msingi yanayo mhusu diamonda hasa ya muziki.
Ni vyema ukatafakari jinsi unavyo fanya kazi hii sidhani hata kama una mtendea haki diamond kuwa msemaji wa aina yako.
Pili unatakiwa ubadilike kwenye uandishi wako,hebu jaribu kuwa msemaji kweli kweli sio kuandika kama unavyo andika siku zote.
Mimi sinpingi wewe kuleta taarifa za diamond lakini unatakiwa ujiulize kama kweli jinsi unavyo riport habari zake unaendana na status yake.
Pia inatakiwa ifike wakati ukileta taarifa watu wa pay attention sio kama sasa watu wanajua utaandika vilevile pamoja na kushauriwa juu ya uandishi wako.
Naamini utatafakari juu ya mipaka yako kama msemaji wa mtu hasa kwenye maswala yake ya muziki.
Usiongee usichokijua.
hizo taarifa kakutangazieni nani?
watu wanalala na kuamka pamoja kil siku..we unasema kaachwa.kivip yani...
usiwe unaongea vya kisikia
..
Samahani, mnaishi nyumba moja na bosi wako??
mkuu mambo vipi? dimond kasharudi?. mia
tuko bize na mambo mengine bwana dimonnd diamond kila kukicha