Diamond:mida hii Off to Zanzibar kwenye mazishi ya mzazi wa Wema...

Unaweza kuongea na diamond akulipie sh 30,000 ili uwe Jamii Forum Gold Member....Uchangie kwa habari unazozitoa..Ni hayo tu!
 
watanzania cjui wakoje..wanpenda ushabikiii...
Hakuna kitu kama hicho..na hakitotokea..
Hamuelew kilicho nyuma ya pazia khusu hawa watu...
Mnahadaika tu na media

heaven on desert tatizo lako inawezekana ujui ukomo wa kazi yako ya kuwa msemaji wa diamond.

Kuna vitu vina kufanya watu wa kudharau maana unataka kuongelea kila kitu na kuingilia kila kitu kuhusu diamond na unasahau kuwa wewe hauko na diamond kila mahala.

Hata wasemaji wana mipaka yao lakini wewe huna mipaka kabisa unataka kuongea kila kitu, kwanini muda mwingine usiwe una nyamaza? Kazi yako hiwe kutolea ufafanuzi mambo ya msingi yanayo mhusu diamonda hasa ya muziki.

Ni vyema ukatafakari jinsi unavyo fanya kazi hii sidhani hata kama una mtendea haki diamond kuwa msemaji wa aina yako.

Pili unatakiwa ubadilike kwenye uandishi wako,hebu jaribu kuwa msemaji kweli kweli sio kuandika kama unavyo andika siku zote.

Mimi sinpingi wewe kuleta taarifa za diamond lakini unatakiwa ujiulize kama kweli jinsi unavyo riport habari zake unaendana na status yake.

Pia inatakiwa ifike wakati ukileta taarifa watu wa pay attention sio kama sasa watu wanajua utaandika vilevile pamoja na kushauriwa juu ya uandishi wako.

Naamini utatafakari juu ya mipaka yako kama msemaji wa mtu hasa kwenye maswala yake ya muziki.
 
Last edited by a moderator:
Usiongee usichokijua.
hizo taarifa kakutangazieni nani?
watu wanalala na kuamka pamoja kil siku..we unasema kaachwa.kivip yani...
usiwe unaongea vya kisikia
..

We sh....oga koma, wapi nimesema kaachwa?????????????mwanamke mzima ovyoooooooooooo kazi kutafuta wakunaji.
 
Usiongee usichokijua.
hizo taarifa kakutangazieni nani?
watu wanalala na kuamka pamoja kil siku..we unasema kaachwa.kivip yani...
usiwe unaongea vya kisikia
..

Kipindi kile wakat Wema anavalishwa pete ulikua bado hujajiunga Jf....
Ilikua bonge la newz..
Hope usije kukimbia , time will tell..
 
Pamoja na yote
Mi nilikuwa naangalia hyo avatar yake mtoa mada coz kuna uzi alisema yy mkali.
Dah......
 
heaven on desert tatizo lako inawezekana ujui ukomo wa kazi yako ya kuwa msemaji wa diamond.

Kuna vitu vina kufanya watu wa kudharau maana unataka kuongelea kila kitu na kuingilia kila kitu kuhusu diamond na unasahau kuwa wewe hauko na diamond kila mahala.

Hata wasemaji wana mipaka yao lakini wewe huna mipaka kabisa unataka kuongea kila kitu, kwanini muda mwingine usiwe una nyamaza? Kazi yako hiwe kutolea ufafanuzi mambo ya msingi yanayo mhusu diamonda hasa ya muziki.

Ni vyema ukatafakari jinsi unavyo fanya kazi hii sidhani hata kama una mtendea haki diamond kuwa msemaji wa aina yako.

Pili unatakiwa ubadilike kwenye uandishi wako,hebu jaribu kuwa msemaji kweli kweli sio kuandika kama unavyo andika siku zote.

Mimi sinpingi wewe kuleta taarifa za diamond lakini unatakiwa ujiulize kama kweli jinsi unavyo riport habari zake unaendana na status yake.

Pia inatakiwa ifike wakati ukileta taarifa watu wa pay attention sio kama sasa watu wanajua utaandika vilevile pamoja na kushauriwa juu ya uandishi wako.

Naamini utatafakari juu ya mipaka yako kama msemaji wa mtu hasa kwenye maswala yake ya muziki.

Akishindwa kupokea ushauri huu, litakuwa sikio la kufa. Nimeupenda ushauri wako.
 
Last edited by a moderator:
Weka picha.

Hiyo hapo:
image.jpg
 
Back
Top Bottom