Diamond mkali wa jingle

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Ukija upande wa pili wa kutengeneza jingles za company's mbalimbali afanyi makosa kabisa kijana wetu diamond na jingle zake zimekuwa Zina influence mauzo kuongea za bidhaa hizo kutokana na wateja kuvutika kupenda hizo bidhaa tumeona alivyofanya jingle ya Coca-Cola ilikuwa hot,tomato source, diamond karanga n.k na Sasa hiv ni pepsi na kweli Sasa hiv soko la Pepsi limekuwa kubwa Sana baada ya demand ya wateja kuwa kubwa kutokana na influence ya diamond jingle la mkubwa wao limekiki.na Sasa hiv ametoa tena jingles zingine mbili za Pepsi nimezipenda Sana.
 
Jingle ilikuwa ile ya COCA, labda kama hii ya PEPSI imebamba sebuleni kwenu
 
Kuna hii ya peps mpya kazngua aisee,ile ya cocacola ilikuwa kama hit song,inshort alitisha sana,hiz za peps anafanya kama underground bhn.
 
Wengi mmeongelea ya Coca na kuonyesha mliikubali..lakin kwangu bado sijaona kali kushinda ya Vodacom Ongea Dailee!ile ilikua ni zaidi ya tangazo!
Kila mtu ana taste yake japo zote alizofanya ni nzuri hata hiyo ya Voda ongea daileee ni nzuri lakini kwangu jingle mpya la Pepsi aliyotoa hizi siku tatu ni fire
 
ile ya coca cola mpaka nilikuwa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…