Ukija upande wa pili wa kutengeneza jingles za company's mbalimbali afanyi makosa kabisa kijana wetu diamond na jingle zake zimekuwa Zina influence mauzo kuongea za bidhaa hizo kutokana na wateja kuvutika kupenda hizo bidhaa tumeona alivyofanya jingle ya Coca-Cola ilikuwa hot,tomato source, diamond karanga n.k na Sasa hiv ni pepsi na kweli Sasa hiv soko la Pepsi limekuwa kubwa Sana baada ya demand ya wateja kuwa kubwa kutokana na influence ya diamond jingle la mkubwa wao limekiki.na Sasa hiv ametoa tena jingles zingine mbili za Pepsi nimezipenda Sana.