Diamond mrudie Hawa

boy mzuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
287
Reaction score
436
Kwa ambao walikuwa hawafahamu ni kwamba Diamond platnum na hawa waliwahi kuwa wapenzi hapo nyuma ...,, kipindi hicho ndo diamond anatokatoka kimziki nyimbo ya ntarejea ni kama walijitabiria haya tunayoyashuhudia sasa, kwamba hawa amejitumbukiza kwenye ulevi uliokithiri na huku diamond akizidi kujiimarisha kiuchumi huku akiwa amekolea kimapenzi na mama watoto wake zarina hassan a.k.a zarithebosslady.

Ikumbukwe diamond alipopata mafanikio na kuwa maarufu zaidi
Wanawake wa mjini walianza kumtolea macho na kuanza kujitongozesha na diamond akaingia king , huku akimsahau mpenzi alieanza nae ambapo hakuwa na kitu ,

kwa stress na hali iliyomtokea HAWA ikambidi afanye maamuzi ya gafla ya kuingia katika ndoa ili angalau apoze machungu ya kukimbiwa na bwana ake aliyempenda kwa dhati' hali iliendelea kuwa mbaya kwa hawa kwa kushindwa kuzuia hisia zake kwa diamond platinumz na kujitumbukiza kwenye ulevi ili apoteze mawazo, bwana nae aliekuwa nae akashindwa kuvumilia na wakawa wameachana huku akiwa amemuachia mtoto mmoja...

Ushauri wangu kwa diamond:

Najua kwa sasa itakuwa ngumu kumrudia hawa ki mapenzi lakini ningeomba japo ki urafiki, mtoe shimoni mwenzio ,hana nguvu za kutoka katika shimo hilo bila ya wewe na kwa kusisitiza zaidi mrudie kwa track ya NIMEREJEA
Naamini itavuta mashabiki wengi wa nyimbo zako pendwa na pia itakuingizia mkwanja mrefu tu na huku ukiwa umetoa msaada kwa mpenzi wako wa zamani .

NI MAWAZO YANGU JAMANI
Mwenye kuongezea na aongeze....
 
Kabla ya ntarejea diamond alishakua maarufu na siyo huyo hawa ndo kampa diamond umaarufu

Hv mtoa post ushawahi kumuacha mpenzi wako?kama jibu ndio mbona kwa diamond inakua ni ishu kuubwaa kumuacha huyo hawa kana kwamba dai ndo mtu wa kwanza kuacha
 
kwenye suala la kibiasha umempa BONGE LA WAZO ila sasa tatizo mond mwenyewe hayupo jf halafu hata akiona huu ujumbe nadhani atapuuza mana ashamdharau huyu demu
ila kiukweli akitaka kutengeneza mkwanja wa maana amrudie manzi maana kwa jinsi anavyopenda kuongelewa kwenye media basi atavuma kuliko kawaida na pia kama mtoa mada alivosema bada ya muda atoe ngoma ya nimerejea
 
Kabla ya ntarejea diamond alishakua maarufu na siyo huyo hawa ndo kampa diamond umaarufu

Hv mtoa post ushawahi kumuacha mpenzi wako?kama jibu ndio mbona kwa diamond inakua ni ishu kuubwaa kumuacha huyo hawa kana kwamba dai ndo mtu wa kwanza kuacha
Nafasi aliyopo diamond ni lazima aongelewe , tatzo sio kumuacha basi angalau amshike mkono sababu alishapita kwenye maisha yake, kumbuka ni mawazo yangu sikulazimishi uamini nachokiamini mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu ...ila ukumbuke JF ni mtandao mkubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafasi aliyopo diamond ni lazima aongelewe , tatzo sio kumuacha basi angalau amshike mkono sababu alishapita kwenye maisha yake, kumbuka ni mawazo yangu sikulazimishi uamini nachokiamini mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Akimshika mkono mama ake inatosha na utafiti unaonesha kila aliyeachwa na domo analia so atawashika mkono wangapi mkuu
 
Tena umuoe kabisa na matarumbeta
 
Mwanamke kashakunywa gongo wa nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…