boy mzuri
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 287
- 436
- Thread starter
- #41
Sijaongelea amrudie kimapenzi mkuu ,rudia kusoma utanielewahawa amevuta madawa ya kulevya,,amekunywa gongo jieke kwenye nafasi ya daimond unaeza kutoka na msichana mwenye hio historia???
all in all namuombea kwa mungu apone arudi mtaan awe funzo kwa wasichana wenzake na hata wanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app