Diamond mrudie Hawa

Kabla ya ntarejea diamond alishakua maarufu na siyo huyo hawa ndo kampa diamond umaarufu

Hv mtoa post ushawahi kumuacha mpenzi wako?kama jibu ndio mbona kwa diamond inakua ni ishu kuubwaa kumuacha huyo hawa kana kwamba dai ndo mtu wa kwanza kuacha
Wanataka Mondi amrudie halafu waanze kusema kaishiwa anachukua dem wa walevi wa mtogole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akahangaike na yule mlevi wa gongo??...kupanga ni kuchagua,acha apambane na hali yake
 
NI MAWAZO YANGU JAMANI
Mwenye kuongezea na aongeze....
usilazimishe mawazo yako yachukue nafasi,hujui nini kilichotokea halafu unataka Diamond amuokoe mtu.inajua je kama Diamond kapoteza pesa nyingi kwa sikio la kufa?ya nini kuhangaika na mtu aliechagua mwenyewe aina ya maisha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…