Diamond, msanii pekee wa Tanzania anaefanyiwa video za uchambuzi nchi za nje

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Huko youtube wasanii wa marekani kama kina chris brown wakitoaga video, masahabiki huandaa video za uchambuzi aidha kukosoa au pongezi kama kile kipindi salama jabir wa eatv alivyo kua akifanya.

Katika pita pita zangu nimekutana na video nyingi sana za uchambuaji wa nyimbo za diamond platnumz, wanaozichambua hizi video ni kuanzia wamarekani, waingera hadi wakorea.

Kwa wasanii wengine wanaomkaribia diamond kama kina harmonize naona ana idadi angalau inayoridhisha, kwa upande wa ali kiba zipo chache ila tatizo views ni chache sana

Heko kwa diamond platnumz, Akishinda yeye taifa zima limeshinda.
 
Ali kiba anawatesa sana huyu jamaa...wenyewe mmeshajiridhisha kwamba mmefunika kwa kila kitu BT kuanzia nyny had I boss wenu hamuish kumfatafata nn shida hahahahaaa hahahahaaa....anzeni kujipambanisha na jux bas kiba muacheni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamzungumzia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Burudani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…