Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Huko youtube wasanii wa marekani kama kina chris brown wakitoaga video, masahabiki huandaa video za uchambuzi aidha kukosoa au pongezi kama kile kipindi salama jabir wa eatv alivyo kua akifanya.
Katika pita pita zangu nimekutana na video nyingi sana za uchambuaji wa nyimbo za diamond platnumz, wanaozichambua hizi video ni kuanzia wamarekani, waingera hadi wakorea.
Kwa wasanii wengine wanaomkaribia diamond kama kina harmonize naona ana idadi angalau inayoridhisha, kwa upande wa ali kiba zipo chache ila tatizo views ni chache sana
Heko kwa diamond platnumz, Akishinda yeye taifa zima limeshinda.