Diamond Muwekee Ulinzi (BODYGUARDS) Tiffah

Mtoto wako yuko salama?duh ivi kila siku vitoto vinabakwa na kunajisiwa uswazi huku bado unasema mtoto wako yuko salama,hii nchi hata chizi anaweza kuiongoza maana imejaa mazwazwa tupu.
inamaana Tz sio salama kabisa sikuhizi.?
 
Naamini kuna watu walitakiwa kuzaliwa karne iliyopita sana hii wangesharest in peace.
 
Haya haya ndio mnayaweza ila mkiulizwa umbali kutoka moshi kwenda Kilimanjaro chaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kilimanjaro mbali fanya kutoka Moshi kwenda Moshi mjini [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…