Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
- Thread starter
- #61
inamaana Tz sio salama kabisa sikuhizi.?Mtoto wako yuko salama?duh ivi kila siku vitoto vinabakwa na kunajisiwa uswazi huku bado unasema mtoto wako yuko salama,hii nchi hata chizi anaweza kuiongoza maana imejaa mazwazwa tupu.