Diamond Muwekee Ulinzi (BODYGUARDS) Tiffah

Diamond Muwekee Ulinzi (BODYGUARDS) Tiffah

Ndugu yangu kwa umaarufu wa bwana Almasi huyo tifa angehitaji security bongo ! Ila kwa south bado Sana kuna matajiri jijini j'bourg...au ulisikia kuna watoto wa matajiri wametekwa....inaonyesha unaangalia Sana IDx
 
Ukweli Africa kusini sio sehemu salama pa kuishi, uhalifu wa pale ni wa hali juu.
 
Ndugu yangu kwa umaarufu wa bwana Almasi huyo tifa angehitaji security bongo ! Ila kwa south bado Sana kuna matajiri jijini j'bourg...au ulisikia kuna watoto wa matajiri wametekwa....inaonyesha unaangalia Sana IDx
Takwimu zinaonesha kuwa kila baada ya masaa 5 mtoto mmoja anapotea/kutekwa SA. uliza uambiwe
 
Daaah hivi hata pale south africa ,,, diamond anaoneka ni tajiri sana eee
 
Naona mapovu tu,kama vipi hebu tujikumbushe kidogo jinsi mapokezi yalivyokuwa huko Meru Kenya. Baada ya hapo muendelee kutokwa na povu.
 
Jamani atakaye muona Mwl wangu Evelyn Salt amwbie nimemmiss hadi naumwa kamanda mwenzie niko kwenye maandalizi ya UKUTA.
 
Back
Top Bottom