Diamond na Alikiba ndani ya Tangazo la NSSF

Nani kamfunika Mwenzake katika Tangazo hili?

  • Diamond

    Votes: 13 50.0%
  • Ali Kiba

    Votes: 13 50.0%

  • Total voters
    26
  • Poll closed .
Peace...peace

I'm not belong to any group...Diamond namkubali na Ali Kiba namkubali pia sanaa

I thought umejibu based kwenye hizi team issues.

Amani Nifah [emoji120]
 
Peace...peace

I'm not belong to any group...Diamond namkubali na Ali Kiba namkubali pia sanaa

I thought umejibu based kwenye hizi team issues.

Amani Nifah [emoji120]
Amani mkuu, pamoja sana Azarel [emoji122] [emoji120]
 
Nimesikiliza Nasubir Video ya Tangazo I hope kila MTU ata shoot kivyake then litaunganishwa WCB member mimi to be Honest
 
Iwekeni youtube,tuiplay online!wengine tunashindwa kudownload!
 
Hii ngoma ipo youtube kitambo..!

Nimeangalia video nzima nilikuwa sijawahi iona, in short hao jamaa wote ni wakali hata ukifatilia hizo verse zao zinaonesha kabisa kwamba ni special talents, wamewafunika wengine. Alikiba kaimba sauti ya kwanza Diamond sauti ya pili, though sijajua kwanini Alikiba alikuwa hashiriki vizuri kwenye hizo nyimbo za Kigoma All Stars maana hapo hajatokea kwenye video, ile Leka Dutigite hakutokea hata kwenye verse
 
Alikuwa anamuogopa domo
 
Nimedownload attachment ngoja niicheki,hata hivyo sina shaka Ali kafunika kama kawaida.
Diamond kumfunika Ali kwenye kuimba ni ndoto ya mchana.
Hahahaha Nifah naona una element za uJecha Jecha yani kabla hujasikiliza tayari una matokeo
 
Huo wimbo mbona wa zamani sana... hata dalili ya Tiffa kwamba angekuja duniani ilikuwa bado! Hata huyo Zari ni mgeni ukilinganisha na huo wimbo!
 
Binadam bwana tangazo hamjaliskia mnaanza mond kafunika kiba katishaa
Kuweni na subila
Msikalili asee vtu vna change yawezakuwa wote wamezngua
##maisha na muziki
##tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…