Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Peace...peace[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Azarel tuliza mori bhana,hata mimi huwa nakuheshimu na najua tunaheshimiana ila sio kwamba tusikosoane.
Tunakosoana na mwisho wa siku maisha yanaendelea.
Hata hivyo naona umeshapanic na sikujua kwamba unafiki huwa unapitishwa na kurugenzi.
Kuongelea masuala ya Kiba na Diamond kumbe ni hadi wahusika wenyewe ndio wayaongelee?
Kwa maana hiyo wewe ni mmoja kati yao?
Duh!
Relax...
Cheers [emoji485]
I'm not belong to any group...Diamond namkubali na Ali Kiba namkubali pia sanaa
I thought umejibu based kwenye hizi team issues.
Amani Nifah [emoji120]