Diamond Na Ally Kiba kwenye Twitter

Hii habari mbona kama yakutunga na mtoa mada sababu inaonesha hayo majibizano ni mawazo ya mtu mmoja huu ni mtazamo wangu tuu.
 
Ndio maaana Mimi napenda wewe Ali Kiba Kijana una Busara wala hukurupuki

Achana na huyo Dimondo...Kina mengi wenyewe wanakopa kwenye mabenji sembuse wewe
 
mbona ina-sound kama tangazo la mikopo...nimeipenda hii strategy
 
Watanzania alietuloga alikua mjamzito, akatoa mimba na bahati nzuri au mbaya nayeye akafariki... Hamuoni kama ilo ni tangazo kweli? Promo ya hiyo website kabisaa inaonekana LIVE.
 
Hao n hackers,wana hack account za wasanii wakubwa kisha wanaandika hayo maneno ili kuipa promo hyo kampuni ya ukopeshaji..

Mkuu ku-hack Twitter na Facebook is impossible.

Labda ujue password yake tu.
 
Ni upuuuuuzi na usheeeenzi wa ************* hapo mnataka kuipa promo hiyo taasisi yenu kwa kutumia vijina vya hawa vijana , nyabafu sana
 
Kwanza hiyo socialcredit yenyewe haieleweki kama ni halali au ya kitapeli, maana kuna jamaa yangu alishoboka nayo but kila akipiga simu walizoweka either aipatikani au aipokelewi. yeye alitaka afike ofisini kwao kabisa maana wanadai wapo maeneo ya mnazi mmoja
 
Ali kiba usijali mkuu mana hata bakhesa anamikopo yakuosha tu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
hawa wote tu wamewasiliana kuongea hili ili wapate kiki tu...

hakuna jipya.. tunawajua vizuri!

ali k kapotea sana kwenye soko la muziki.. kwa sasa ndio anajipanga kurudi...

unadhani atarudi vipi kama asipokuja indirectly kupitia wengine?

hii ni movie kama movie nyingine tu...
 
Hiyoo ni Link ya Matapeli wanaipigia Promo, nina mashaka na mtoa Uzi
 
jamani wewe maisha ya mtu yakuwashia nini
kama ameamua kukopa si yeye wala haikudhuru
dogo angesoma angeelimika maana naona hana
somo kichwani mwake
 
we jamaa uliyepost ni ------ kumanina zako.. mi nshajua unaupigia promo huo mtandao wa kitapeli.
kwa taarifa yako we maku mwisho wa herufi za kuandika ktk twiter ni 140.
sasa uyu Alikiba kapata wap uwezo wa kutweet maneno yote hayo.
acha usenge na kuwadanganya watu -------- wee uctengeneze story. na wajanja tushashtuka hatutaki kuingia huo mtandao wala nin na hatutak huo mkopo.
mikundu yako!
 
Asee km iyo habar itakuwa ni kweli basi domo atakuwa ni zuzu wa mazuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…