Diamond na Davido wakutanishwa tena kuwania tunzo huko Florida,Marekani

Diamond na Davido wakutanishwa tena kuwania tunzo huko Florida,Marekani

Truth be told, nilikuaga simkubali huyu jamaa..until alivyotoa nyimbo ya "nataka kulewa" na scandal za huo wimbo ndo ulinifanya nimkubali.. Niligundua kwamba this guy is smart...he can do anything to survive..and thats what makes one a man....!!
I admire people who are so daring ..

Mimi huyu kijana nilimkubali zaidi alipotoa wimbo wa "kesho" na huu ndio mmoja wa nyimbo zangu bora toka kwa Diamond.
 
Yeah,i real wish ths kind of pipo can shw sm lv instead of hating so much espicialy when they see sm other pipo coming up.

Nafikiri nao wana hitajika ili aendelee kufanikiwa.
 
serio, huyu ndio Dabo
 

Attachments

  • 1409158967228.jpg
    1409158967228.jpg
    23 KB · Views: 144
Last edited by a moderator:
diamond arudi tu tz kushugulikia harusi yake uwanja wa taifa .davido ni hatari kwa afya yake
 
Hivi kwanini watu hapa wanamchukia sana huyu chalii,mbona yupo poa tuu na isitoshe anatuwakilisha vyema tuu na kuimba pia anajua. Acheni hizo mambo bhana.

Wanamchukia coz anatoka uswahilini na anawagonga sana dada zao wa Masaki....
na wanamshobokea hatari....aka sukari ya warembo....
 
Then act like a boss, kwa kuongea lugha inayo eleweka.
Over

Mhhh kuna mambo mengi tuu ambayo nayazingatia kama a real boss lkn lugha ya kigeni sio moja wapo kwa kiasi hicho unavyodhani wewe,as long as kwa hii wewe unayoiona broken inanitosha kucommunicate na clients wangu na wakanielewa vizuri tuu thas all i nid,am nt using the language to win a championship.
 
Team Wema pigeni kura halaf mjiandae kwenda kumpokeaa
 
Back
Top Bottom