Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Truth be told, nilikuaga simkubali huyu jamaa..until alivyotoa nyimbo ya "nataka kulewa" na scandal za huo wimbo ndo ulinifanya nimkubali.. Niligundua kwamba this guy is smart...he can do anything to survive..and thats what makes one a man....!!
I admire people who are so daring ..
Aiseeee
am nt one his fan lkn simchukii,namuombea afike mbali zaidi ya hapa bz ni kijana anatafuta kama mimi.
chingereza is not gawiza
Yeah,i real wish ths kind of pipo can shw sm lv instead of hating so much espicialy when they see sm other pipo coming up.
Hahhshahaaaa.. Atajitetea kwa kusema kilikuja na meli....!! Watch the space!!
diamond arudi tu tz kushugulikia harusi yake uwanja wa taifa .davido ni hatari kwa afya yake
Niliisha la saba so lugha sio ishu sana kwangu ila nimeajiri wasomi kibao tuu na waniita boss.
Mwanadsm yupo kwenye category gani?
Hivi kwanini watu hapa wanamchukia sana huyu chalii,mbona yupo poa tuu na isitoshe anatuwakilisha vyema tuu na kuimba pia anajua. Acheni hizo mambo bhana.
Then act like a boss, kwa kuongea lugha inayo eleweka.
Over