McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Labda uwafafanulie maana ya hayo maneno, maana wewe unaweza kufikiri kila mtu anaelewa kumbe tatizo wengine hata hawajui tofauti ndiyo maana wanashabikia Diamond kununua Rolls Royce.Ni Liability au Asset?
Kuna mtaalamu mmoja alidefine hivi:Ni Liability au Asset?
Kwanza nakutafuta sanaView attachment 391259Hii kitu Diamond ataendelea kuitamani ila kuinunua asahau. Juzi juzi nimeona jamaa mmoja mnyarwanda anayo SA niliigusa tu nikaishia zangu.
UmenipataKwanza nakutafuta sana
Kuna mtaalamu mmoja alidefine hivi:
Liability: anything that takes money out of your pocket. Anything...
Asset: anything that brings money in your pocket
Alafu nasikia anataka kununua eti RR Phantom! Kwa pesa ipi alionayo ya kununua gari ya zaidi ya 800M kabla ya kodi?Msanii anaweza kukwambia kwamba anauza image, na yeye kuwa na Rolls Royce ni sehemu ya kusafisha image ili kuvutia pesa Zaidi.
Kwa minajili hiyo, hilo gari linaweza kuwa linamuingizia hela (ingawa kihasibu hili linaweza kuwa gumu kulithibitisha)
All in all, ni vigumu kukubali kirahisi kwamba Diamond ananunua Rolls Royce.
Especially kwa sababu kwa Tanzania itabidi alinunue mara mbili ili kumlipa Magufuli kodi.
Anaweza kukodi ili kupigia video, akapiga nalo picha, washabiki wakashoboka kama kawaida.
Watu wanapenda kuchonga tu.Alafu nasikia anataka kununua eti RR Phantom! Kwa pesa ipi alionayo ya kununua gari ya zaidi ya 800M kabla ya kodi?
Naskia Zari kamnunulia kumshukuru kwa mimba ingineAlafu nasikia anataka kununua eti RR Phantom! Kwa pesa ipi alionayo ya kununua gari ya zaidi ya 800M kabla ya kodi?
Zipo used sio lazima achukue mpya.Alafu nasikia anataka kununua eti RR Phantom! Kwa pesa ipi alionayo ya kununua gari ya zaidi ya 800M kabla ya kodi?
Endelea kusikia tuNaskia Zari kamnunulia kumshukuru kwa mimba ingine
Kwa uliposema uwezo wa kununua anao, kuna mtu alikuandikia..?Uwezo wa kununua hilo gari anao,ila tu kodi kizungumkuti itamshinda tuu kwa kweli yaani wanatukomoa Ktk ushuru