Diamond na Gari lake Jipya

Diamond na Gari lake Jipya

Diamond yuko State anafanya video na Ne-Yo usijekuta ni mihemko tu ya mashabiki uchwara nakumbuka hata wakati wa video ya Ya Moto Band ali-post gari ikawa ishu duh yaani kaweka video bila caption basi tayari kanunua kati ya watoto wenye akili Diamond yumo anajua uwezo wa akili wa mashabiki wake maana atachezea pongezi mwezi mzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1472665612580.jpg
Hii kitu Diamond ataendelea kuitamani ila kuinunua asahau. Juzi juzi nimeona jamaa mmoja mnyarwanda anayo SA niliigusa tu nikaishia zangu.
 
Kuna mtaalamu mmoja alidefine hivi:

Liability: anything that takes money out of your pocket. Anything...

Asset: anything that brings money in your pocket

Msanii anaweza kukwambia kwamba anauza image, na yeye kuwa na Rolls Royce ni sehemu ya kusafisha image ili kuvutia pesa Zaidi.

Kwa minajili hiyo, hilo gari linaweza kuwa linamuingizia hela (ingawa kihasibu hili linaweza kuwa gumu kulithibitisha)

All in all, ni vigumu kukubali kirahisi kwamba Diamond ananunua Rolls Royce.

Especially kwa sababu kwa Tanzania itabidi alinunue mara mbili ili kumlipa Magufuli kodi.

Anaweza kukodi ili kupigia video, akapiga nalo picha, washabiki wakashoboka kama kawaida.
 
Alafu nasikia anataka kununua eti RR Phantom! Kwa pesa ipi alionayo ya kununua gari ya zaidi ya 800M kabla ya kodi?
 
Duuh hawez sijui liability izo zote ni akili za mtu asienafedha haswaa .....kama kanunua ni vyema watu wana private jet zao na magari kibao ya kifahari na bado wanafedha as kutosha.....siku ukipata fedha nzuri liability asset ni story za kawaida sana Ila kwavile mambo bado tuaache wakionazo wafanye
 
Rolls royce!!!!!!!! Mnadhani ni x5 hiyo? Labda ya kichina iyo
 
Alafu nasikia anataka kununua eti RR Phantom! Kwa pesa ipi alionayo ya kununua gari ya zaidi ya 800M kabla ya kodi?
Zipo used sio lazima achukue mpya.

media

hio GBP 80,000.
 
Kuna watu wanaangaika kwa kweli,mtu anauliza kama liability au asset,hawajiulizi hadi mtu kaweza kupata hiyo pesa ya kununua hiko kitu unachojiuliza wewe kama ni liability au asset huoni kama kakuzidi akili huyu mtu ........ maana yeye sio Serikali yako kusema inatumia pesa ya wananchi masikini kwenye vitu visivyo na tija.
 
Back
Top Bottom