Diamond na Gari lake Jipya

Hakuna star yeyote ananua gari la 300000 dollar cash wengi wao wana lease then after 2 years anarudisha anapewa model mpya. Gharama za insuarance , service kwa mwaka huwezi kumudu na bado gari lipo Tanzania?? Inabidi kila mwaka ulisafirishe south Africa au UK kwa service.
 
Usidanganyike, unaweza pata RR used in good condition na ikipigwa polish utadhani mpya, kwa bei chee ya US $ 15,000/=, hawa wasanii ni waongo na wanashauriwa kutumia uongo na sifa kujijenga kwa washabiki na kuongrza mauzo ya nyimbo na show zao. Hebu watueleze ni RR model gani na ya mwaka gani.

Hebu ingia kwenye link hii hapo chini uonr soko la used ROLLS ROYCE huko Dubai. Na bado hujaenda Uingereza, Japan na Kong Kong.
 
Yeye mwenyewe hajasema kama kanunua au alikuwa location.
Watu ndiyo wanabishana na kumsemea mambo ambayo hajasema.
Mwisho wa siku wanasema jamaa muongo wakati hajasema chochote kuhusu jambo hili.
 
Hilo gari lina nini mpaka linauzwa pesa nyingi hivyo?
 
Hiyo gari imeshafika tayari maana ni miaka 2 sasa.
 

Lako Wewe pia liko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…