Diamond na Gari lake Jipya

Diamond na Gari lake Jipya

"KWA USAWA HUU" sio hali ya watu wote,jisemee kwa nafsi yako.
Ni kweli mkuu siyo wote ni hali ngumu! kuna jamaa Bandarini alikuja kulipia ushuru wa gari lake Mil 85! wiki hata haijaisha! Kuna watu wenye hela asiwe msemaji wa mifuko ya watu
 
Sisi hapa kitaani kuna jamaa kanunua nyumba 6 kwa sh 1.4b kisha zote akazivunja kwa lengo la kutanua eneo lake tu.
 
Hii ni RR Phantom Diamond alioionesha ni RR Ghost
Hata ghost used zipo.
media

Hio GBP 115,000 ya 2010. BTW kuna mtu anayo hapa DSM ina private plate GHOST.
 
Sisi hapa kitaani kuna jamaa kanunua nyumba 6 kwa sh 1.4b kisha zote akazivunja kwa lengo la kutanua eneo lake tu.
Kuna watu wameuza nyumba few months ago $6m DSM hii ya Makonda.
 
Hongera zake,kula kitu roho inapenda.Kama vitu vyote ulivyokuwa anaota kwenye maisha yako umeshafanya na kuna zaidi ya TSH mil 600 imekaa tu kwenye account yako haina kazi kwanini usinunue Rolls Royce
 
Kuna watu wameuza nyumba few months ago $6m DSM hii ya Makonda.
Kuna mwarabu kauza eneo lake mil 900 alikuwa anataka kumuuzia mzee Azam mzee kamwambia alisha jenga kiwanja cha mpira sa hivi akihitaji tena, kuna mdingi flani kashakichukua mwarabu kasha sepa!
 
"KWA USAWA HUU" sio hali ya watu wote,jisemee kwa nafsi yako.
Usawa wa Magufuli ni usawa wa kulinunua Rolls Royce mara mbili.

Kuna mashaka kama Diamond anaweza kulinunua mara moja tu kama ana akili nzuri.

Kulinunua mara mbili inabidi si tu awe na uwezo, bali pia awe kichaa mara mbili.

Diamond hana kichaa hicho, ndiyo maana kafika alipo.

Angekuwa na kichaa hicho hata alipo asingefika, angeshakuwa teja siku nyingi tu.
 
Hapo huko sahihi, $ 300,000 au $ 400,000 x tsh 2,200 = ...... + pesa ya magufuli (kodi) + kulisafirisha + namba binafsi = ??? (majanga )
 
Taratibu, vitu vyote viko mtandaoni.

Hilo Rolls Royce gani kwanza?
 
Back
Top Bottom